Recent content by Dariya

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ni kichefuchefu!

    Kama wewe huna Masters Degree hilo ni tatizo lako na ndicho kinachokusumbua. Ungelikuwa emeenda shule, ungelikuwa na uwezo wa kuchambua na kuelewa namna ya ku interact na watu wa ngazi zote, walisoma na wasiosoma. Wasiokuwa na elimu ndiyo wenye matusi bila hoja. Ulishindwa nini kutoa mchango...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi. Na kila alichokiumba Mungu aliona ni chema sana. ... Wewe kwa akili yako ilivyondogo kama ya panzi, unafahamu kwamba kuchukuliwa hatua waharifu, mpaka aliyeibua hoja awe waziri wa sheria. Bado kuna serikali hapo? Kwa mtazamo wako baada ya Mwakyembe...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ni kichefuchefu!

    Wwe kama ungelikuwa na ufahamu, ungetoa hoja kwamba wapi kakosea. Na mawazo yako ni yapi. Unapotukana bila hoja, unauwa zezeta!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Watanzania tulihitaji mabadiliko. Hii ni kutokana na taifa kupoteza dira na taswira ndani na nje ya mipaka yake. Tumeshuhudia teuzi nyingi zikifanyika wa misingi ya undugu na nasaba pasipokujali tija kwa taifa. Ni jambo la kushangaza kwamba watu kama hawa wanaachwaje kuteuliwa na badala yae...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa alaani kupigwa, kuteswa na kukamatwa Professor Lipumba

    Naomba uweke bayana uzinzi wake uko wapi? Katiba ya nchi inasemaje juu ya viongozi wazinzi? Naomba usisema kishabiki. Njoo na hoja.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa alaani kupigwa, kuteswa na kukamatwa Professor Lipumba

    Tafuta hoja ya maana Lizaboni. Wanawake ni bidhaa kwamba hawana uwezo wala haki ya kuamua aolewe na nani na aachane na nani? Mahusiano mangapi yanavunjika na wapenzi wanatawanyika? Nisehemu gani ya katiba ya nchi inayosema raisi ni lazima awe na mke aliyemkuta hajaguswa waal kuwa na uhusiano...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa alaani kupigwa, kuteswa na kukamatwa Professor Lipumba

    Umesema sawa raisi wa Watanzania. Jambo moja hujalifahamu mheshimiwa ni kwamba, safari za kikwete za nje huwa si za kujifunza best practices. Mrengo wake halisi ni kusocialize na kukimbia domestic catastrophes ambazo ana ziprovoke lakini hana uwezo wa kuzikabiri.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mgomo: Dodoma, Ruvuma, Songea, Morogoro, Mwanza, Mbeya wawapokea wafanyabiashara wa Dar

    Dawa ni serikli kutuma polisi waende wakawapige wafanyabiashara wote wanaogoma!. Nyumba kwa nyumba!!!!!! Ukitegemea busara na kweli serikali ya ccm umekwisha. Hawana uwezo huo.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza vyeti - zawadi kwa atakayevipata

    Ndugu zangu, Nimepoteza vyeti vyenye majina ya MARIAM PETRO NTOBI. Ninaomba yeyote atakayeona cheti ama kitu chochote chenye majina haya, awasiliane na mimi kwa simu number +255 754290 au kipeleke kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe, kisha nipigie kwa zawadi yako. Ninachohitaji ni...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Segerea wanamtaka Scholastika Kevela, Makongoro Mahanga kachokwa

    Ninadhani si vizuri sana kuhusisha tabia za mtu na mazingira yake ya kuzaliwa, kwa sababu hakuna mwanadamu anayepanga azaliwe wapi na katika mazingira yapi. Kuna watu wengi sana ambao kuzaliwa kwao hakukuwa kwa shamrashamra ama mstrai mzuri, lakini leo ni watu ambao jamii zao zinawategemea kwa...
Back
Top Bottom