Recent content by daringvoice

  1. daringvoice

    Ni mdada natafuta kazi Mwanza

    Natafuta kazi yoyote isipokuwa ya ndani na ya bar. Mwenye uhitaji wa mfanyakazi anitafute pm Muwe na siku njema. Jamani kama huna kazi usinitafute kwa kunikejeli.
  2. daringvoice

    Natafuta kibarua (ke)

    Nawasubiri
  3. daringvoice

    Natafuta kibarua (ke)

    Habari zenu wapendwa,naimani mko salama Natafuta kibarua Cha kufanya ,Kama Kuna mtu ambaye anata kuajili binti katika shuguri zake anitafute Ni mwaminifu na ni mtulivu Nafanya kazi yoyote isipokua ya bar au ndani ndo sita weza kufanya Kwa maelezo zaidi karibu pm Nipo mkoa wa Mwanza...
  4. daringvoice

    Natafuta kazi ni binti mwaminifu

    Bira shaka unasoma hotuba
  5. daringvoice

    Natafuta kazi ni binti mwaminifu

    Huna kazi ya kunipa ndomaana umepata Cha kuandika Mimi Sina dhiki ila natafuta kazi.
  6. daringvoice

    Natafuta kazi ni binti mwaminifu

    Kila binadamu Ni mpole ,kila binadamu Ni mcheshi,kila binadamu Ana huruma kila binadamu ni katiri kila binadamu Ana kichwa Cha mda so isiwe sababu ya kumdharau mtu na kumkejeer kwakua anashida ipo ivi Mimi naishi na mtu anavyo ishi na Mimi ukijieshimu nakueshimu pia.unafiki sipendi siwezi...
  7. daringvoice

    Natafuta kazi ni binti mwaminifu

    Kampime Dada yako
  8. daringvoice

    Natafuta kazi ni binti mwaminifu

    Ndo dudu mama dudu aghaaaa aghaaa
  9. daringvoice

    Natafuta kazi ni binti mwaminifu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]
  10. daringvoice

    Natafuta kazi ni binti mwaminifu

    Hapa Kuna vitambulisho vya taifa
  11. daringvoice

    Natafuta kazi ni binti mwaminifu

    Maneno ya mkosaji sishangai
  12. daringvoice

    Natafuta kazi ni binti mwaminifu

    Naaamini mtu mwenye Nia ya kutafuta mtu wa kumsaidia katika shuguli yake yoyote ile atakuja dm sipo kuchagua kazi kwa Sasa kila mmoja na njia zake za kutafuta kitu hivyo ata nikiweka sifa zangu mtu akihitaji chura atahitaji tu.ni mtazamo wako pia mkuuu shukran kwa ushauri wako
Back
Top Bottom