Recent content by darasani

  1. darasani

    JamiiForums Tanzania Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    ila wewe jamaa una akili fupi sana, unajua maana ya umaskini?
  2. darasani

    JamiiForums Tanzania HOJA: Museveni kashindwa ushoga. Je, Tanzania tutaweza?

    huyu atakua member
  3. darasani

    JamiiForums Tanzania HOJA: Museveni kashindwa ushoga. Je, Tanzania tutaweza?

    unadhani ameshindwa kwa kukaa kimya,?
  4. darasani

    JamiiForums Tanzania Shime! Watanzania wenzangu, kesho 1/12/22 twendeni tukapime VVU

    Pima ujue unao au hauna maana ngono unayofanya bila kinga ni tishio kwa afya.
  5. darasani

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi shule za private za kanisa yataka moyo

    Unamwambia nani sasa
  6. darasani

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi shule za private za kanisa yataka moyo

    Musoma vijijini,
  7. darasani

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi shule za private za kanisa yataka moyo

    Reaction inaanzia hapa, nachimba kwingineko
  8. darasani

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi shule za private za kanisa yataka moyo

    Point 💯👏
  9. darasani

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi shule za private za kanisa yataka moyo

    Ndo life
  10. darasani

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi shule za private za kanisa yataka moyo

    Wale ni walimu wangu, mimi sio huyo uliemsema
  11. darasani

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi shule za private za kanisa yataka moyo

    Ndugu zangu habari, sijui ni kwa nini lakini naomba niwape huu uzi kwa ufupi. Ni muda mfupi nimetoka kuongea na mmoja ya walimu wakongwe wa Nyegina Secondary, amenipa taarifa iliyobadili hisia zangu ghafla. Iko hiviii, walimu 5 wameachishwa kazi. Sababu ni kwamba hawa walimu hawajui...
  12. darasani

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu atusaidie

    Mtihani mkubwa sana
  13. darasani

    JamiiForums Tanzania Hivi inampasa mtoto kumtumia fedha mzazi wake hata kama mzazi hana shida ya pesa?

    Sio lazima. Ni upendo tu kama unamjali mpelekeee
  14. darasani

    JamiiForums Tanzania Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

    Huwa naota niko na mdogo wangu marehemu. Tatizo nini?
  15. darasani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa wanaume hatujawajulia tu

    Unaweza ukapitiwa na usingizi ukisoma hii kitu kwa makini
Back
Top Bottom