Meneja,muhasibu na mtoa pesa inasadikika wameiba sh mil 10 kwa kutengeneza taarifa feki za utoaji wa pesa..wanachama tunaomba waachie ngazi kwani tumechoshwa natabia yao ya kutuibia.
Takribani ni miezi minne sasa sisi watumishi wa TAZARA hatujalipwa mishahara yetu, tumejaribu kuishi kwa kukopa lakini bado hali ni tete na familia zimesambaratika.TUNAKUOMBA waziri mwenye dhamana na wizara hii tusaidie..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.