Recent content by Dany_M

  1. D

    Ushauri .. nimenunua noah min bus kwa ajili ya biashara

    Nadhani ungefanya utafiti kwanza, pia elewa madereva waongo wanakushauri alafu pesa hawaleti. Labda utafte kazi ya kubeba watoto shuleni. Au uendeshe mwenyewe hapo unaweza pata pesa.
  2. D

    Nahitaji elimu kuhusu funza kama chakula cha kuku

    Pia kuna Mchwa ambao upatikanaji wake ni rahisi sana. Chimba shimo kulingana na majani utakayotumia funga mzigo wa majani mfn: Mabua ya mahindi, Majani ya Mnazi Ukifunga funga na waya pia katikati ya furushi/mzigo wamajani weka kitu kizito kidogo kama chuma. waya utako ufunga atakua na...
  3. D

    Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

    Biashara Ya vifaa vya ujenzi au Umeme na nguo kuna mikoa inakua na msimu ila jaribu biashara ya chakula kwani watu kilasiku lazima wale hivyo lazima watanunua tu.
  4. D

    Msaada: Wapi pa kupata cage za kufugia kuku wa mayai?

    Dar Zipo Maeneo ya Victoria ukipanda na njia ya kuelekea kwa Keruki Hospital. Kutoka kituo cha Daladala Kuelekea Hospital Mkono wa kulia kuna ofc utaona kwenye display. Wanaitwa green.
  5. D

    Limestone bora inapatikana Tanga

    Tuwasiliane 0713382742
  6. D

    Soko la vitunguu maji kwa 2015

    Namba ya simu
  7. D

    Hivi hii biashara bado ipo?

    Unauza hizo pesa? kwaajili ya kutengenezea mikufu, vidani?
  8. D

    Natengeneza na kuuza Masweta, baby suites na scarf

    Uko wapi na Mawasiliano pia nimuhimu.
Back
Top Bottom