Recent content by Danthedon

  1. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 18 sijawahi kushudia ugumu wa biashara kama awamu hii ya Tano

    Kwahiyo mwaka 2014 kurudi nyuma Kariakoo haikuwa na biashara nyingi za kufanana? Je kuna bidhaa zilizokuwa zinauzika vizuri kipindi cha nyuma ila kwasasa zimeachwa na wafanyabiashara wakaamua kuuza zinazofanana na jirani zao? Mnaongea kama mapunguani, Twende CHINA pale GUANGZHOU uangalie...
  2. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 18 sijawahi kushudia ugumu wa biashara kama awamu hii ya Tano

    Hakuna biashara mpya wewe, kila biashara unayofikiria kufanya tayari ipo na ndio maana hizo bidhaa au huduma inapatikana. Kwani Kariakoo ni ya Juzi 2015? Au kuna siku miaka ya nyuma ulifika pale basi kila Duka ukakuta lina bidhaa tofauti na lingine? Ukiingia mtaa wa Hardware utakuta maduka yote...
  3. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Mbona Bikira Maria alichaguliwa mmoja huyohuyo tu na si ndugu zake au wanawake wengine wote?
  4. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM, Ole Mushi aionya Serikali ya CCM Makanisa yanaambatana na Wanyonge kuiondoa serikali madarakani

    Na Roman Catholic wao waliahidiwa nini mbona nao Waraka wao unafanana na huu?
  5. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM, Ole Mushi aionya Serikali ya CCM Makanisa yanaambatana na Wanyonge kuiondoa serikali madarakani

    Ni juu ya kabila lake au anachokisema?
  6. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM, Ole Mushi aionya Serikali ya CCM Makanisa yanaambatana na Wanyonge kuiondoa serikali madarakani

    KKKT ijenge hospitali nzima mpaka kufikia ilipo Serikali leo ndio ione kwamba inaweza kuibiwa Mishahara ya baadhi ya madaktari wao Milioni 129? Huu ni upuuzi wa kiwango cha juu. Milioni 129 ni Sadaka ya Jumapili moja Makanisa 5 tu hapa Arusha mjini
  7. Danthedon

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Diwani wa CHADEMA Kata ya Namwawala mkoani Morogoro auawa kwa kukatwakatwa mapanga

    Waliompia Lissu risasi sio wahalifu?
  8. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu tetesi za kufungwa kwa benki zaidi nchini Tanzania

    Hatujafikia hata nusu ya Bank za kenya
  9. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Unadhani Ontario hakuwa na cha kufanya kilichombana DAR alipoamua kwenda South Africa? Ukiambiwa kuna kazi mpya ya kukulipa dola 100 kila siku utabakia na hiyo kazi unayofanya sasa? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Let em go to hell, cheap mind suckers. Thats why they will die rotten poor.
  11. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Kama mtu alisafiri mpaka SA kutafuta hii elimu na kuileta hapa nashangaa mtu akisema niko mkoani siwezi kuhudhuria. Je ukiambiwa kila siku Ontario anatoa Dola 200 pale hautahudhuria? Maana ya gharama ndio hii, Safiri kalipie malazi na chakula pamoja na nauli ya kwenda shule kila siku, ukimaliza...
  12. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Chumba cha Hostel kigamboni kwa kijana anaesoma IFM

    Asante sana, kama una mawasiliano yoyote ya mtu anaeweza kunisaidia kupata maeneo hayo nitashukuru ndugu yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Thanx, we are waiting bro. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa suti za harusi Arusha

    0768945757 Mcheki huyo kijana ni hatari sana kwa suti na kila kitu katika ushonaji. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Danthedon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Chumba cha Hostel kigamboni kwa kijana anaesoma IFM

    Kwa yeyote anejua au aneweza kunipatia chumba kizuri kwa ajili ya kijana anaesoma IFM, kiwe maeneo salama na karibu na usafiri nitashukuru sana. Bajeti yangu kuanzia elfu 50 mpaka 70 kutegemea na chumba. Ushauri pia napokea... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom