Recent content by Danny OG

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wakali wa series, msaada wa Series kali za action/upelelezi/ugaidi

    Alex raider Ni series ya mwaka Jana Ila 🔥🔥 na Game of throne japokua Ni ya mda kidog Ila kwangu Ni moja ya series ya muda wote
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia somo moja

    Sawa kiongozi Asante sana nitafanya hivyo.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia somo moja

    Nashukuru sana 🙏🏿🙏🏿 kwa ushauri wako mkuu naamini umenisaidia sana angalau najua pa kuanzia sasa.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia somo moja

    Nipo mbeya kiongozi kwani wew upo mkoa gani ??
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia somo moja

    Nikweli kiongozi nipo chuo Ila cheti Cha form four huwa kina umumuhimu wake zipo baadhi ya nafasi hutaka mtu mwenyew ufaulu wa kidato Cha nne SoMo la mathematics angalau awe na D ya mathe.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia somo moja

    Sawa shukrani ndugu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia somo moja

    Habari zenu wakuu. Nilimaliza form four mwaka 2018 kwa ufaulu wa division 3 ya 24, lakini nilikua na F moja ya Mathematics hata hivyo nikachagulia na TAMISEMI kusomea coz ya marketing ndiyo ninayosoma Hadi Sasa. Nataka ku risiti nirudie SoMo moja la mathematics ambalo nilipata "F" form four...
Back
Top Bottom