Recent content by Danny Massawe

  1. Danny Massawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hili dude nimelikubali limesukwa kwa weledi mkubwa
  2. Danny Massawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni handicap (0)
  3. Danny Massawe

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mtandaoni ya LBL inayojihusisha na matangazo ya biashara siyo Utapeli?

    Kiongozi wewe umeongea point sana watu wanasema ni matapeli lakini wote ambao wamedumu kwenye mfumo kwa mwezi mmoja wamesharudisha pesa yao ya kiingilio na wanaendelea kupata faida. Na mpaka sasa hakuna ambaye ametapeliwa. Mimi ni mwezi wa pili huu nimerudisha ela yangu na naendelea kupata...
  4. Danny Massawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

    Naitwa Godfrey Salama. Naombeni ushauri nilikuwa naweka pesa paripesa ikafeli na meseji ikaja kwenye app yangu kuwa deposit rejected. Ila cha ajabu pesa ilikuwa imeshatoka airtel money. Sasa haijafika kwenye app na airtel money poa imeshatoka. Nimewapigia airtel wanasema ela imeenda paripesa...
  5. Danny Massawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibu mkeka uliochambuliwa, sporty bet. 89D90F5
  6. Danny Massawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama kwene mkeka wako yupo BARCELONA cashout mapema....Anakikosi kibovu sana leo, wachezaji muhimu ni majeruhi
  7. Danny Massawe

    JamiiForums Tanzania Website ya UTT haipo hewani na nimeweka zaidi ya milioni 100 nimepanic. Vipi hatujapigwa huko?

    Kwa laki 5 kwa mwezi utapata gawio la elfu 5
  8. Danny Massawe

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Naombeni msaada? Je utt liquid fund ina gawio kwa kila mwezi kwa mwekezaji? Au ni lile ongezeko la thamani ya kipande pekee?.Na kama kuna gawio linaanza kwa mwekezaji aliwekeza kiasi gani cha fedha?
  9. Danny Massawe

    JamiiForums Tanzania UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

    Naombeni msaada? Je utt liquid fund ina gawio kwa kila mwezi kwa mwekezaji? Au ni lile ongezeko la thamani ya kipande pekee?.Na kama kuna gawio linaanza kwa mwekezaji aliwekeza kiasi gani cha fedha?
  10. Danny Massawe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mfanyabiashara afariki kwenye ajali ya gari

    rip brother, tupo nyuma yako... pole kwa familia
  11. Danny Massawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau,,ni mm tu sportybet haifunguki au na nyie inazingua?
  12. Danny Massawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni msaada nimedroo sportybet tangu juzi malipo mpaka sasa yapo pending, nifanyeje kupata hizi pesa?
  13. Danny Massawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    sportybet, ni mm tu inasumbua au ni wote, muda mwingi app haifunguki
  14. Danny Massawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusijidanganye Simba hii ni ya kawaida sana, uongozi unaendeshwa kiujanja ujanja, MO tuachie timu yetu

    wewe umeshaichangia simba shiliingi ngapi??
  15. Danny Massawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusijidanganye Simba hii ni ya kawaida sana, uongozi unaendeshwa kiujanja ujanja, MO tuachie timu yetu

    umeongea upuuzi mtupu
Back
Top Bottom