Nahitaji kujua matatizo common ya hii Isuzu bighorn maaan kuna siku nimeibamba mkononi ilikuwa inatembea vzr ni comfortable nkatamani kununua ila mwnye nayo hakunipa matatizo common ya hizi gari naombeni ushauri
UKINUNUA GARI POPOTE PALE HASA ZILE USED HAKIKISHA UNAPATA SERVICE MANUAL BOOK YA GARI HUSIKA naamin hutalichukia gari km ukipata kitabu chake maaan vinakuwa na mambo mengi ambayo yataku guide katika siku zote za utakapo limiki hilo gari
Wale wanaochukuaga 0KM wanaelewa faida ya hvo vitabu cost...
Yaaan sio poa af yanashuka thaman vibaya mno European cars ziko juu always performance yaaan kila kitu Japanese cars zinapata soko kubwa sabab wanaproductovity kubwa kulinganisha na European inatoa kitu kdg with something good
Hata km apewe top speed ya 240 bado hakai kwa European...
Hello JF members nahtaj kujua kwa undani zaid wenye experience na biashara ya mapazia pamoja ushauri wenu wakuu wap naeza pata kwa bei nzur kwa bei ya jumla ili niuze bei ya rejareja na jumla pia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.