Recent content by danmarc

  1. danmarc

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    kweli kabisa hizi ajira si za kutegemea ni vema kujaribu na upande wa pili
  2. danmarc

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    ahsante mkuu sikuwa nalijua hili umenipatia elimu mpya na muhimu
  3. danmarc

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    hahhaha sawa mkuu tuwasubirie
  4. danmarc

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO Nawasilisha
  5. danmarc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hii imekaaje najaribu kuwithdraw PARIPESA napata ujumbe kuwa maximu amount ya kuwithdraw ni 264000 per day
  6. danmarc

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza pata usafiri wa fuso za kubeba mizigo yangu kutoka Singida hadi Mwanza, baada ya kuhamishwa kikazi

    Habari nimehamishwa KIKAZI kutoka mkoa wa singida kwenda mwanza , na ninauhitaj kuhama na vitu vyangu vyote kama meza ,vitanda ,sofa , TV ,friji NK , Naomba kujua Kwa wenyeji wa singida Mjini wapi naweza nikapata ma FUSO yatakayonibebea hivi vitu vyote Kwa pamoja kutoka hapo singida Hadi mwanza
  7. danmarc

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Je zinakuwa Curved au ??? N'a vp bei ya inch 65 TU7000
  8. danmarc

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Samsung inch 65 model TU8300 unazo??
  9. danmarc

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu abdulwaa Mkuu abdulwaahid naomba kujua gharama za tv +usafiri wa kutuma hizi tv mpaka singida (nione ipi nitaimudu) 1. TCL 55’ uhd 4k smart(android) 2. LG 55’ inch nano cell 3 LG smart 55’ ambayo si nanocell
  10. danmarc

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Tcl 4k uhd 55 inch ulizonazo zinatumia android OS? Na pia naomba unitajie model yake
  11. danmarc

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu hapo uko singida mjini ,nina maswali kidogo kuhusu huo mkoa
  12. danmarc

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Tcl zenye soundbar kwa chini kama hii kwny picha hamna
Back
Top Bottom