Recent content by Danitha

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Nipo dar!!! Ohooo pole sana utapata tu was huko dodoma
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Hata wewe sio kosalako pia
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Tumia utambuzi relax
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Hayo ni maneno tu na mawazo yako hata kwenye kanga yameandikwa. Halafu nahisi wewe itakuwa umeolewa ndo maana unaandika pumba eti mbabe halafu wewe utakuwa nani. Riziki anatoa mungu sio wewe binadamu mwenye mawazo potofu.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    N
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Unaujua huo unyenyekevu wewe au unatamka tu. Wangapi humu JF katika kupost post zao wametumia neno MWENYE UHITAJI katika wote hao mm ndo ni
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Jamani na.mm sijamjibu Huyo MTU yeye kama unavyofikiria wewe.inahitaji utambuzi. Dunia imejaa mauzauza. Siku njema kwako.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Pole na wewe. na mm sijamjibu huyo Siku njema na amani ya mwenyezi mungu iwe pamoja nawe:):)
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Anza wewe kujifunza kuandika ndo uje uniambie mm. Huna hata aibu jifunze kukaa kimya sio kila post ikiandikwa humu JF lazima na wewe uandike kama huna point potezea ili amani ya moyo iendelee kuwepo.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Kaa kimya kwanza wewe, kama we we ni mnyenyekevu kwa nn unaendelea kujibu msg. Utakuwa wa kwanza kulala na njaa wewe unayejifanya una unyenyekevu kumbe hata haujui maana ya sifa ya unyenyekevu. Anayetoa riziki ni mungu wewe ni nani si binadamu tu. Hebu jaribu kuonyesha huo unyenyekevu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Ne Nenda kalale mwanawani
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Siku zote heshima haiji bila wewe binafsi kujiheshimu. Jiheshimu ili uheshimiwe. Uliona wapi MTU anatoa unyasi ulio katika jicho LA mwingine wakati yeye ana boriti kubwa. Basi anza boriti ndipo unyasi utolewe.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Hahaaaa kama nilivyokupuuza Mimi.pole saaaana walimwengu ndivyo walivyooo
  14. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Sio kosa lako wewe
  15. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kwenye Stationary

    Kweli kabisa na wewe umeliona hilo,!!! Si kila post atakayotuma MTU lazima uijibu vitu vingine wanatakiwa watu wapotezee wawaachie wenye uhitaji. Mara weka email Mara picha ili mradi tu wao wajifurahishe, unajua wengi hawaingii kila wakati mtandaoni kwa hiyo ukiiweka namba inasaidia haraka...
Back
Top Bottom