Wapendwa uteuzi kama huu kwa wenzetu unaweza kupingwa mahakamani iwapo mteule hana vigezo. Bahati mbaya kwetu hata Bodi za Wakurugenzi hawana ubavu wa kuteua kiongozi mkuu wa shirika nyeti kama tanesco. Its a pitu
Dawa ya vituo vya habari hasa tv vinavyodumaza uhuru wa waTanzania kupata habari kwa misingi ya demekrasia na freedom of speech ni kwa sisi raia kuvisusia. Mimi tyr kingamuzi cha star times nimetupilia mbali. They are cowards. Wanataka sote tulishwe hoja za upande mmoja tu na kuangalia...
Wastaafu kote nchini tumeshtushwa sana na tangazo la ongezeko ya pensheni kwa asilimia 2% kuanzia 2025 lililotangazwa na Waziri Kikwete (jnr).
Itakumbukwa kwamba ongezeko hili kiduchu kwa rekodi linafanyika baada ya kupita karibu miaka 10 i.e. enzi za Rais Kikwete na Waziri Mkuya walipoongeza...
Lakini pamoja na jitihada za Ruhoro kufuatilia haki za wastaafu ni kweli haoni upotofu wa majibu mepesi ya Katambi? Mara ya mwisho kima cha chini cha pensheni kiliboreshwa 2015 enzi za Rais Kikwete!! Sasa hayo mapitio ya miaka mitatu (3) ya Katambi yataisha na kutoa matokeo lini? Kwa umri wake...
Katika kikao kinachoendelea bungeni Mbunge Ndaisaba Ruhoro wa Ngara alihoji kuhusu maboresho ya pensheni za wastaafu kutokana na kupanda kwa hali ya msisha. Naibu Waziri Katambi kajibu kwa hoja za actuarial science na eti mapitio ya pensheni hufanyika kila miaka 3. Ukweli ni kwamba ktk kipindi...
Pesa nyingi zinatumika kujenga miji ya dodoma kwa majumba mengi ya gorofa, barabara za lami n.k. Miradi ya kuondoa umaskini, maradhi na ujinga inabidi kusubiri au kwa spidi ndogo. Hivi ni vipaumbele kwa nchi nyingi za ki Afrika.
Hakika huu waraka wako umenukuu falsafa za kidikteta za akina Kim wa Korea Kaskazini. Ni sera za kifashist za karne ziliyopita ambazo kamwe hazikubaliki ktk tawala zinazozingatia ustaarabu na haki za binadamu. Aidha maamuzi ya Waziri aliyetoa GN ya dhukma yafaa kulaaniwa na afutwe kazi. Maamuzi...
Hakika hatuhitaji economist watwambie nani bora ktk demokrasi. Kwa nchi yoyote misingi ya demokrasi inatokana na katiba. Tujiulize je?
Katiba ya Tanzania ni ya kidemokrasi zaidi kuliko ya kenya? Uhuru wa vyombo vya habari- tv za kenya muda wote ni kuonyesha hotuba na matukio ya wapinzani...
Tangu July, 2015 wakati wa utawala wa Rais Kikwete kima cha chini cha Pensheni za wastaafu hakijawahi kuongezwa kutoka Tsh. 100,000/=.
Tokea 2023 Waziri Mwigulu amekuwa akiongelea zoezi la mapitio ya mifuko ya pensheni na kuwapa matumaini kwamba jambo hili linafanyiwa kazi lkn tumeona juzi...
Well said comrade. Kwa Tanzania mahitaji ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi bado ni safari ndefu. Kwa kadri madai ya haki za demokrasi ktk nchi yetu bado yanategemea utashi na fadhila ya Rais ambaye ni kada wa chama tawala tukubali nchi yetu yahitaji maombi.
Ndugu yangu pamoja na maelezo ya kishujaa ya mbunge wa Arusha bungeni kuhusu janga la kikotoo cha pensheni za wastaafu, sasa subiri siku ya Mei Mosi wiki chache zijazo utaona vyama vya wafanyakazi wanavyosifu viongozi wa serikali.
Baadhi ya viongozi hawa wengine wakiwa mawaziri wa muda mrefu...
Na katika hali hii kima cha chini cha pensheni kwa wastaafu imebaki kuwa Tshs. 100,000/= kwa mwezi tangu utawala ya Kikwete 2015 - miaka 9 iliyopita. Tunaambiwa eti wataalam wanaangalia hesabu za mifuko ya pensheni kuona kama kuna uwezekano wa kufanya mabadiriko, ambayo kiutaratibu yanatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.