siku nilienda karambezi cafe , basi nikaanza kumkumbuka insider [emoji16][emoji16][emoji16], nikaanza kuimagine sijui alikaa hapa au pale na mtt Irene,.. all in all hongera champ
fanya kukimbia walau nusu saa kwa siku,kunywa maji ya kutosha, punguza vyakula vya wanga Kama ugali na wali badala yake tumia , parachichi, supu, mboga za majan na matunda , alafu jitahid kupiga push up 100 kwa siku., fanya kwa siku 90 utaona matokeo
unachokisema n kweli mzee , huku ofisn nmeshuhudia boss wangu anamla mke wa mtu bila uoga, Tena haend hata lodge au hotel humo humo ofisn kwetu, naishia kufunga Domo langu tu ili nitetee ugali wangu , Tena sio mke wa mtu mmoja n Zaid ya wawili Hadi ikafika hatua wake za watu wanagombana kisa...
Duuuh ...mkuu mm iyo laki tatu kwa wiki ngeenda kujumua maharage vijijini na kuuza mjini tena ngepata faida kubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kumsamehe mkuu.....wanaume tuliumbwa kuongoza na sio kuwa followers .....unapofanya maovu aliyofanya ina maana ww n follower wake ..... just think great ....msamehe tu kwan bnadamu wanamapungufu meng sana .......stand as man ...atakua ameona kosa alilofanya........msamehe ili nawe...
Me nadhani kaa chini kwanza ...tafakar kwann ameamua kufanya hivyo...muulize sababu ya kufanya ivyo.....then kapimen afya ...kama yupo ok ..msamehe tuu ...usitumie hasira ktk kufanya maamuzi ... binadamu n watu wa ajabu sana ndugu yang
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.