Recent content by daniel255

  1. daniel255

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano anatakiwa

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29,natafuta msichana wa kuwa nae kwenye mahusiano na hatimae kuoana nae.awe na umri kuanzia miaka 22-26,mcha mungu,anaejiheshimu na kujithamini,mchapakazi,mwenye mawazo chanya..elimu yake kuanzia kidato cha NNE na kuendelea. Aliye tayari njoo pm but zipo njia nyingi...
  2. daniel255

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam to Mwanza kwa FastJet nauli ni shilingi ngapi ?

    Ni lakin mbili na arobaini (240,000/=) tu mm nimemkatia mtu Jana.
Back
Top Bottom