Recent content by DANIEL NSULWA

  1. DANIEL NSULWA

    Kidato cha sita{6} 2014 wataanza kusuka/kunyoa tar 5/05/2014:

    Zimebaki takribani km cku 15 vijana kidato cha sita nchini kote waanze mitihani yao ya mwisho, ni wao pekee watakaohukumu future yao ktk maisha ya kitaluma.Ungana nao kwa maombi mbele za Mungu wa mbinguni,ili wakahukumu vyema kwa kuandika vizuri mitihani yao.
  2. DANIEL NSULWA

    Marais na Viongozi wa nchi wataendelea kuriport VATICAN kwa papa

    Ipo siku Mungu atashuka kuliokoa taifa lake,kumbukeni sodoma na gomora.
  3. DANIEL NSULWA

    Msaada:kupata scholarship.

    Jamani wana Jf kuna hatua gani za kufanya ili kupata scholarship,na je ni vigezo gani vinavyozingatiwa haswa.Na mwisho ni chi gani nzuri zaidi kitaaluma kwa upande wa universities ktk Afrika mashariki na kwingineko duniani.Ahsanteni jamani
  4. DANIEL NSULWA

    Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

    Naomba ukubaliane na mimi kuwa hata ktk makanisa mengine uliyoyataja wapo watu wa mfano wa mke wako,si kila aliye majini ni sangara kuna hata kobe na wadudu wengi tu.Naomba pia utofauishe kati ya secular na non secular state,na kwa maana hiyo mwanadamu hawezi kushindana na Mungu {zaburi 24:1}...
  5. DANIEL NSULWA

    Maendeleo:-

    Ni kipi haswa chanzo cha Maendeleo duni ktk nchi za ulimwengu wa tatu{3}?.A)Mfumo wa uongozi & viongozi,B)Wananchi wa nchi husika.Chagua jibu moja wapo utoe ufafanuzi wako
  6. DANIEL NSULWA

    Gred za masomo kidato cha 6

    Kwa anayefahamu anisaidie,hiv gredi zitakazotumika sasa hivi f6 ni km zile za kidato cha 4 au kuna utaratibu gani?
Back
Top Bottom