nasikitika kuwa umekuwa mvivu wa kufikiri.chadema haipambani na ufisadi tu na ikaishia hapo bali chadema inapigania haki na maslah ya watanzania.fikiria mambo kama kutetea wananchi kupunguziwa vifyaa vya ujenzi,huduma za afya,elimu na maji na mambo mengine kedekede.tetea ccm wamefanya nini cha...
Mengh anaweza kuwa presidential material kwa asilimia 30 tu kwa mtazamo wangu kwan ana nyanyasa sana vibarua wake hasa ujira ili ajiongezee utajiri mkubwa,rejea alivyotaka kuwadhurumu orijino komed walipokua chanel 5.30% nilizompa ni kuthamin mchango wake wa kuwasaidia wasiojiweza hasa matibabu...
Anapaswa kusimamishwa umeya kama ameshindwa kesi ya kufukuzwa udiwani xaxa huo umeya anautoa wapi?? Hebu huyo matata kama jina lake afukuzwe umeya kwan mazingira yanaonesha kuwa ametumwa na ccm na serikali yake ili kudhorotesha kasi ya chadema manispaa ya ilemela kupitia baraza la madiwan.hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.