Katika hatua nyingine, Wazee wa Chadema visiwani Zanzibar wamemtaka Mwenyekiti wa Chama hicho, Feeman Mbowe achukue fomu ya kutetea wadhifa huo.
Akizungumza na waandishi wa Habari visiwani hapa, Mwenyekiti wa Wazee hao wa Mjini Magharibi, Idrissa Jumbe, alisema wanachama wa mikoa mitatu...