Recent content by Daniel Kulwa Luchagula

  1. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Kakobe afunguka tena: Biblia inasema kiongozi akikengeuka ajulishwe

    Hatr wanataka kujua mipaka ya dini na siasa ili kuweka mambo sawa sababu wakisifia hawaambiwi wameinglia siasa wakikosoa wanaambiwa wameinglia siasa shida hipo.
  2. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Kutoka JamiiForums: Salaam za kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018

    Nawe pia Mungu ibariki Tz Mungu ibariki jamii forums
  3. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo

    Hakuna msukuma anaitwa Manyama jina la mkoa wa mara huko kama si mjita huyo
  4. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Utawala wa sasa unalazimisha kufanya kazi si kuipenda kazi ili uifanye!!

    Naamini kama unafanya kazi kama kazi yako na taratibu zinavyokutaka za kazi yako sizani kama utakua na ofu ya kumhofia mtu,au kua na kigugumizi katika kufanya maamzi kama mkuu wa idara au meneja katika taasisi unayoiongoza lakini kama utendi na uwajibikaji ni wa dili dili ndipo kuhofiana...
  5. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Kumbe NHC kuna madudu na madili ya kufa mtu! Mchechu atumbuliwe?

    Utakua umemsahau Masamaki yule wa TRA hapo nazani anacheza na namba mbili
  6. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Kumbe NHC kuna madudu na madili ya kufa mtu! Mchechu atumbuliwe?

    Utakua umemsahau Madamaki yule wa TRA hapo
  7. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi nyingine za Afrika kuna barabara ya Nyerere?

    Kibaki road ilikuja vipi je kuna Mkapa road kwingineko?
  8. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Rais kugawa maburungutu ya fedha: Wasaidizi wa Rais wako sahihi?

    Sio kwamba Rais alitoa yeye pekee hizo mil 60 yeye alihaidi kuwapa 10 kwaajiri ya chakula na di chache akadai ile 10 aliyotoa ni ndogo akamwita waziri mkuu pia aongezee akatoa 10 na viongozi wengine eg waziri Mhagama na Ndalichako walitoa mil6 kwa kila mmoja inshort walichangia viongozi mbali...
  9. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Rais kugawa maburungutu ya fedha: Wasaidizi wa Rais wako sahihi?

    Hizi pesa si kwamba zilichangwa na viongozi mbali mbali hadi kufika mil 60 ambapo yeye alitoa mil 10,waziri mkuu 10,mawaziri wenine eg Mhagama na Ndalichako 6 kwa kila mmoja na wenginwo hadi wa mikoa si kwamba Rais katoa 60 zote yeye pekeee na alidai za chakula kwa walim na wanafunzi wa chuo...
  10. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Siha, Godwin Aloyce Mollel(CHADEMA) ajivua wadhifa huo na kuhamia CCM

    Napendekeza iwepo sheria ya kuwaadhibu hawa wanaochaguliwa na wananchi baada ya miaka miwili unaona walikosea kukuchagua kupitia chama flani na kwa kusema uwezi kutimiza yale uliyowahaidi ukiwa chama hicho kwann usingeliona ilo mapema au vumilia hadi muda waliokupa ridhaa uishe ndo utangaze...
  11. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Hussein Mwinyi anafaa Zanzibar kule 2020 akachkue mikoba ya Shein
  12. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa bungeni Dodoma

    Daaaah shughuli ni nzito
  13. Daniel Kulwa Luchagula

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akibadilisha Mawaziri, hawa lazima waende na maji

    Gerison Lwenge and charls Tizeba
Back
Top Bottom