Recent content by daniel danya

  1. D

    Naomba msaada jinsi ya kufungua mafile kwenye simu

    Nashindwa kufungua file ambazo nimedownload kama matangazo hivi, vitabu cjajua kwa nn naombeni msaada. Mfano file ambalo lipo katka systm ya PDF nikidownload cwezi fungua plz nifanyaje?
  2. D

    Natafuta chaji ya mac book

    Kama kuna mtu anachaji original ya laptop MAC BOOK anniambie anauza sh ngp naitaka icwe mchna maana hii isha nifia plzz
  3. D

    Kama unatafuta elimu bora, usije St. Joseph Arusha

    So kaka TCU wao wana conclude vipi maana nao wanakuwa kama mafala hivi hawawez sema chuo hawakijui halafu kwenye vitabi vyao bado wanavitangaza huu ni usenge kumamake..... So mda mlipoteza hapo wanafanyaje ujue con umaana wa TCU vyuo vingu vinaelekea kuzidi hata makanisa na misikiti sasa halafu...
  4. D

    Naomba kujua faida na hasara za TCU

    So haina umaana wa kuwepo mm mwenywe naona hilo aiseee
  5. D

    Naomba kujua kuhusu hi course VETERIAN MEDICINE

    Kwa anaye jua lolote kuhusu hii course aniambie jamani kama vile 1) soko la ajira lipoje 2) mtu anae anza kazi mshahara wake upoje 3) maeneo gani mtu alie soma hii course anaweza fanyia kazi 4) ugumu wa course na urahisi wake 5) mbinu zake za kusoma ikitokea umechaguliwa 6) field unaeza...
  6. D

    Naomba kujua faida na hasara za TCU

    Wadau wa elimu naomba leo tujadiri faida na hasara za TCU katika elimu ya chuo kwa upnde wangu mm naona haina faida yoyote ile.... ni bora watu wangekuwa wanachukua form chuoni lakin co kupitia TCU... naomba na ww uchangie tujifunze kitu tujue faida yao na hasara za TCU
  7. D

    Msaada tafadhari wadau

    Cheti anapata..... coz yA BRN lakini hata kama hicho chuo wanataka accademic certificate dis tym watakuwa waongo coz hiyo inatoka baada ya mwaka mmja maybe result slip ambayo imeshatoka, na leaving labda ambazo c dhani kama zitakuwa zimetoka coz paper za kutengenezea dis tym zinatoka necta sa...
  8. D

    Kwa ufaulu huu naweza kusoma Architecture?

    So hio coz CBG ANACHUKULIWA MTU MWENYE C C B na uzur wa hio coz uko wapi na ubaya wake plz soko la ajira vipi
  9. D

    Masonya Sekondari

    Poa nashukury
  10. D

    Masonya Sekondari

    Nashukuru sanaa dg kachaguliwa huko awamu ya pili sa cjajua itakuwaje kupata join instruction
  11. D

    Masonya Sekondari

    Kwa anaye fahamu masonya secondari ipo wapi mkoa na kama kuna mtu ana mawasiliano au au nae ndugu ake kachaguliwa huko plzzzz tarfa yoyote kuhusu masonya secondary
  12. D

    Mtihani wa mock kufanyika Februari mwakani?

    Mm mwenyewe nimesoma hiyo mikoa yote miwili na kati ya mikoa yenye msimamo na na mtihani wa mock basi ni kilimanjaro na arusha wote hao huwanapiga mwezi wa 11 wao huwa haijarsh ratba imebadilika vipi na cc ratiba ilitoka mwezi wa 7 so jipange
  13. D

    Kwa ufaulu huu naweza kusoma Architecture?

    umesoma fasihi andishiiii????
  14. D

    Majibu ya TCU bado hayajatoka?

    Kwann tunahngaika na hili swala akati kuna wanachuo walio pitia njia ya TCU na wanajua A-Z wao walipataje majibu na mambo ilikuwajeee???? Process nzima wanaijua plzzzzz ajitokeze mmja atuambie mwanzo mwisho na co mtu anakuja mm cjui nan alifanya hv hatutaki tunataka muhusika mwenyew aseme ye...
Back
Top Bottom