Recent content by Daniel bayo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Naomba kufahamu je kwa atakae somea postgraduate diploma in education Hali ya ajira ipoje kwenye soko la ushindani wa ajira wana fursa sawa na hao wengine au ata interview ya kazi hawaitwi???
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

    Naomba kufahamu je walimu wa postgraduate kwenye soko la ajira wanathaminika kam hao wengine Hali ya ajira ipoje kwa upande wao.?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia aipongeza Tanzania kuwa kinara utekelezaji wa programu ya lipa kwa matokeo (PforR)

    Tunaomba wasimamie Vizuri utekelezaji maana Kuna vijiji utakuta wamesambaza tu water pipes na hakuna kinachoendelea Wala mitaro hazijachimbwa. Je maji yangepatikanaje vijijini Kwa mfumo huu.
Back
Top Bottom