Recent content by Daniel Anderson

  1. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania Picha ya Bendera ya Tanganyika kwa ambao hatujawahi kuiona

    jamani zinauzwa wapi nazitaka nizilete chuo nikazisambaze sasa hivi
  2. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    :wink2::A S 13::hand::clap2::fencing::cheer2::target::amen::yield:
  3. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    akitoka tu mahakamani anafukuzwa ndo uje kuwa amejikalia mwenyewe kooni
  4. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Hamieni hata kuzimu lakini hamuwezi kukidhoofisha chama tena maana msaada wenu amefukuzwa. Nadhani mnabaki pia pembeni mkimwonea huruma kuporwa kitumbua chake kwa sababu za usaliti
  5. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    woooote mmetoka kwenye hoja ya mtoa mada mmengangania email ya mvua. dah!woote mmekuwa mabroila?
  6. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Sasa siono comments za kutaka zitto afukuzwe kutoka kwa Faiza Fox, Ritz, Rejao, Chris Lusoi na wenzao. vipi mlidhani chadema hakiwezi kusimamia maamuzi yake? mlidhani mwanachama mmoja ni zaidi ya chama? Mjifunze kutoka kwetu, sisi si wa kuwalalamikia wanachama wenye lengo la kuvuruga chama...
  7. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Niliweka post humu ndani kuhoji maamuzi ya kamati kuu ya chama juu ya Zitto na wenzake lakini leo hii nikiri kuwa nilikosea sana. Naunga mkono ila naomba kwa Dr. Mkumbo apewe fursa nyingine, natumaini hayupo tena kwenye huu mkumbo wa Zitto. Zitto kweli ni msaliti na afukuzwe mapema chamani...
  8. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    naongea na wewe Mungi pamoja na Crashwise
  9. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    :confused2::confused2::confused2:Niliweka post humu ndani kuhoji maamuzi ya kamati kuu ya chama juu ya Zitto na wenzake lakini leo hii nikiri kuwa nilikosea sana. Naunga mkono ila naomba kwa Dr. Mkumbo apewe fursa nyingine, natumaini hayupo tena kwenye huu mkumbo wa Zitto. Zitto kweli ni msaliti...
  10. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    mi ya mwalimu mmoja toka nursery hadi std vii na mitoto inafaulu yote. Bagamoyo kuna nazi kweli kweli
  11. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe - Kigoma: 21 Desemba 2013

    Shardcole wewe ni mtanzania siyo watanzania ila ni wa Tanzania pengine. Usiwasemee watanzania wakati umeona jamaa hakuwa anaongea na miti wala mawe.
  12. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe - Kigoma: 21 Desemba 2013

    Hapo Ben ulitaka kumaanisha nini?
  13. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania Sh 5,000 inaweza kabisa kunitoa kimaisha!

    Umaskini mkuu unwatesa watz. Kote huko ni kuhangaika na hili gonjwa la umaskini
  14. Daniel Anderson

    JamiiForums Tanzania Sh 5,000 inaweza kabisa kunitoa kimaisha!

    abdulazizi mnola Yesterday 07:59 #91 Junior MemberArray Join Date : 24th November 2013 Posts : 2 Rep Power : 0 Likes Received0 Likes Given10 Re: Sh 5,000 inaweza kabisa kunitoa kimaisha! By SHAFII ABDALLAH Habari watanzania wenzangu nimependa mada hii mtu kuwa bilionea kwa...
Back
Top Bottom