Recent content by Daniel Aloyce Daniel

  1. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

    Hatuombi haki ila ni kwamba jamii inayomkandamiza mwanaume kwa sababu tofauti tofauti haina haki ya kumuambia mwanaume namna ya kuishi pale anapopata nafuu
  2. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha bila watoto wala ndoa

    Ni mental ileness as long as you do not know what is behind. People go through a lot maka wanaamua kuwa single kwenye maisha. Sidhani kama ni mental illness.
  3. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

    Mabikira wapo. Wanaume na wanawake ni tofauti kifikira. Mwanaume anatakata awe wa kwanza na awe mwenyewe, hata ukiangalia kwa wanyama, wanyama wengi wana male dominancy. Kwa hiyo jamii imeamua kumfanya mwanaume asiye na kipato kizuri kuwa hana thamani ila mwanaume huyohuyo akipata kipato, jamii...
  4. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke age-mate wako aliyekukataa wakati ana miaka 21, atajisogeza kwako akifika miaka 30

    Na kwenye hii dunia, hakuna bianadamu ambaye ana deni la mapenzi kwa binadamu mwingine. Ni mtu anaamua akubali au akatae. Na naamini kama vile kila mtu alivyo na haki ya kukataa mtu asiyempenda au kuwa na hisia naye, basi hata yeye ana haki ya kukataliwa. Kukataliwa kwenye mahusiano sio mwisho...
  5. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke age-mate wako aliyekukataa wakati ana miaka 21, atajisogeza kwako akifika miaka 30

    Kuna muda MUNGU anawaondoa wale wasiostahili kwenye maisha yako kwa sababu huenda wangekurudisha nyuma. Mtu akikukataa kwenye maisha inabidi uendelee na maisha yako kwa sababu, kwenye maisha tunaishi mara moja na kingine muda haurudi nyuma, wakikukumbuka wakumbuke, wakikupotezea wapotezee
  6. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii dhana kuwa Mwanamke 'Single Mother' hafai tena kuwa na Mwanaume mwingine na wana matatizo ni nani alitudanganya Wanaume?

    Hata mimi sishabikii watu kutengwa ila pia sishabikii kulazimisha watu na kuwatenga kwa sababu ya machaguo yao
  7. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke age-mate wako aliyekukataa wakati ana miaka 21, atajisogeza kwako akifika miaka 30

    Ni nadra sana ila inawezekana, ni bahati ya mtu tu. Bado kuna wanawake wanatunza kwa ajili ya watu wao. Ila mimi naona kama hajakutunzia hakuoendi
  8. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Tanzania South Africa faces continental diplomatic quagmire as African envoys boycott Africa day celebrations

    ba bad enough is that, most of those who get mistreated by the locals aren't illegal foreigners as they call them. Most of them have legal papers and they are in SA legally, but due to extreme hate and what they call xenophobe, they have decided to make sure that anyone who is black and not a...
  9. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke anayeweza kuzaa na mwanaume asiyempenda ni swala la muda kitakulamba tu

    Ila inauma sana
  10. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Tanzania South Africa faces continental diplomatic quagmire as African envoys boycott Africa day celebrations

    Niliona clip moja wakiongea na raia weupe, wale wana kama asili ya Asia, wanawaomba wasiwaajiri wasio wa south africa, yaani wanaabudu watu weupe ila wanaua watu weusi.
  11. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii dhana kuwa Mwanamke 'Single Mother' hafai tena kuwa na Mwanaume mwingine na wana matatizo ni nani alitudanganya Wanaume?

    Kama yeye ameamua sawa ila sio kwa sababu ya shinikizo fulani.
  12. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii dhana kuwa Mwanamke 'Single Mother' hafai tena kuwa na Mwanaume mwingine na wana matatizo ni nani alitudanganya Wanaume?

    kwa sababu ni kauli inayotumika kulaghai wanaume wengi sana. Imagine unakuta mwanaume akiwa single, hana mtu, anahangaika kupata mtu, anakutana na rejections nyingi sana, heartbreak za kutosha na maneno kama "wewe sio type yangu", alafu yule aliyekuwa anamuambia "wewe sio type yangu", akipata...
  13. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke age-mate wako aliyekukataa wakati ana miaka 21, atajisogeza kwako akifika miaka 30

    Ni kama kuna kaukweli fulani kwenye hii ishu.
  14. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke age-mate wako aliyekukataa wakati ana miaka 21, atajisogeza kwako akifika miaka 30

    kupata full package ni ngumu sana, yaani awe mzuri + tabia nzuri + bikira. Ila hata huyo mzuri wa sura naye si alikuwa bikira? mbona ni kama vile inawezekana, ni MUNGU tu akiamua kukutanisha naye, ni sawa.
  15. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii dhana kuwa Mwanamke 'Single Mother' hafai tena kuwa na Mwanaume mwingine na wana matatizo ni nani alitudanganya Wanaume?

    Kweli ni dhana potofu, ila suala la kusema "tukubali sisi ndo tumewapa hao watoto" unakosea, sema wewe ndio umewapa hao watoto maana kuna wanaume wengi ambao: 1. Hawana watoto 2. Hawakuwahi kuwa kwenye mahusiano, huenda walikataliwa kwa sababu tofauti tofauti mf. uchumi, kuitwa mshamba na...
Back
Top Bottom