kwa sababu ni kauli inayotumika kulaghai wanaume wengi sana. Imagine unakuta mwanaume akiwa single, hana mtu, anahangaika kupata mtu, anakutana na rejections nyingi sana, heartbreak za kutosha na maneno kama "wewe sio type yangu", alafu yule aliyekuwa anamuambia "wewe sio type yangu", akipata mtoto na playboy, akikataliwa anarudi nyuma na kusema "real men" ndio pekee wanaweza ku handle single mother, Je hakuwaona hao real men b4? Anayesema hivyo hawezi kumshauri mtoto wake wa kiume au kaka yake aoe single mother, ila kwa sababu wengi wameshazoea kuharibu maisha ya wengine, anaweza akashauri mtu baki afanye hilo kosa.
Sisemi single mothers ni wabaya, ila pia si support kumuita mtu kuwa sio mwanaume kwa sababu tu amekataa kubeba matokeo ya makosa ya mtu aliyoyafanya mwenyewe. Mwanamke anaweza kusema "hataki mwanaume asiye na pesa" ila wengi wanaona mwanaume hapaswi kusema "anataka mwanamke bikira" .