Recent content by Daniel Adrian

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Kampuni gani inafanyaga hivyo ?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Ukiachana na magroup ya ajira. Magroup gani mengine watu wanajiunga kwa pesa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Kumbe mtu anaweza kujiajiri kwa kuwa na group tu!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Jamani hakuna mtu kujibu hayo maswali nilouliza ?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Ukiachana na magroup ya ajira. Magroup gani mengine mtu anatakiwa atoe hela kujiunga ?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Hivi jamani mnambie, kumbe kuna magroup mtu anatakiwa atue hela ajiunge ?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi KAHAMA

    Asante sana kwa moyo wako wa kutaka kumsaidia mtu ambae huna udugu wa damu nae. Kiukweli sihitaji kupewa nauli tu, japo hiyo ndio main focus (kuondoka hapa kahama). Nahitaji ajira tu ndugu yangu. Kwanini ajira tu ? Kwa sababu dhamiri yangu hainiruhusu kumpa mwingine mzigo wangu mwenyewe...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi KAHAMA

    Nisaidie nipate hata kazi moja (yoyote ile) basi ndugu yangu si unajua tena sisi sio wazawa hivyo hatuna connection
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi KAHAMA

    Hakika
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi KAHAMA

    Niko hapa toka mwezi wa 2. Nakaribia mwaka
  11. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi KAHAMA

    Bora ningeendaga kutafuta maisha Tunduma!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi KAHAMA

    Ndaga fijo gwa kukaja. Nilikuja kizembe mji wa watu nkamu!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi KAHAMA

    Asante sana
  14. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi KAHAMA

    Ndugu zangu nipo Kahama hapa mambo yameniendea ovyo kabisa. Nimepoteza mtaji wote katika biashara za kimachinga sina hata nauli ya kurudi Mbeya nilipotoka kuja hapa KAHAMA. Natafuta kazi yoyote ya halali hapa KAHAMA, niifanye kwa miezi miwili hii, mpaka mwezi wa pili ili angalau nipate nauli...
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri nifanyeje juu ya hili?

    Sawa
Back
Top Bottom