Recent content by danel kasozi

  1. D

    Mrejesho: Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    just come down boy!we cyo wa kwanza,hata ndg yangu ilsha mtokea akachukulia poa;na MUNGU alimpa mke mwema.naamini kwa yote hayo yalokukuta,MUNGU anampango mzuri na wewe na atakupatia mke ambaye ni saizi yako;ambaye daima atakuwa faraja kwako.so tulia, just pray 4 GOD!
  2. D

    Walimu wachapwa viboko na wazazi

    haya mambo serikali itoe elimu kwa wananchi na kuboresha mahusiano baina ya walimu na wazazi(jamii kwa ujumla).kuna shule moja kigoma,mwl wa jiog amchapa mkononi binti aitwaye hadja f3 2014 akajifanya amezimia,wazazi waliandamana kila mmoja akisema yake,walimchukua na kumpeleka zahanati,lkn...
  3. D

    Walimu wachapwa viboko na wazazi

    au nawe uliwacharaza?mi naona,hata kama wazazi kuna mambo yanawakera kuna sehemu za kulalamika na sio kuchukua sheria mkoni,wakifikishwa mbele ya sheri watajibu mambo maswali yafuatayo;- kufanya tendo la shambulio la mwili na udharirishaji.
  4. D

    Je,nani wanastahili mikopo

    Naomba kujulishwa kama kuna wanachuo walio hitimu kidato cha 6 miaka 3 iliyopita waliopata mikopo?maana mimi nilimtuma mtu akaambiwa kuwa waliohitimu kidato cha 6,miaka 3 ya nyuma hawakupewa mkopo.sasa sijui lina ukweli kiasi gani.
  5. D

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    What are features of monopoly capitalism as given by lenin
  6. D

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    What are the features of monopoly capitalism as given by lenin
  7. D

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    hapana,nimelipa kiasi japo bado nadaiwa na tunarudishd 4m kesho sijui kama itapokelewa.lakini npo chuo.
  8. D

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    unajua taratibu za vicoba?nao ni ushauri,asante!
  9. D

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    habari ndg zangu.naomba mnisaidie nifanyeje ili nipate mkopo,mimi sikufanikiwa ktk lot 3 zote na pia sijui kama kutakuwa na lot ingne.mimi kwa sasa nipo mbeya chuoni,niliondoka nyumbani niktegemea nitapata mkopo ili nimalizie usajiri,lakn sijapata na inawezeka kama hakuna lot nyingine...
  10. D

    HESLB: kwa waliokosa mkopo

    mimi najiona kama mtu asiye na bahati,kwani naomba watuambie wapi tulikosea.nimeona kuna mtu ana index no. ya 1992 kama sikosei mwingine 1998 wamepata,nipo chuo nasubiri naona lot zote zinapita.sina nauli ya kwenda dar heslb,nifanyeje ili nipatiwe mkopo bila kuwafuata?
  11. D

    Je,bado kuna nafasi open university

    Hapana kaka,ni swala la wakati tu!
  12. D

    Je,bado kuna nafasi open university

    Kwayeyote anayejua kama bado kuna muda na nafasi ya kuomba open anisaidie
  13. D

    Rufaa bodi ya mikopo

    naomba wadau mnisaidi namna ya kukataa rufaa heslb.pia mtu anatakiwa awe na sifa zipi ili aweze kupewa mkopo.kati waliokosea sikuwemo,lakini pia 1st &2nd lot simo japo chuo nilipata( BAED),kwa sasa nina mzazi mmoja na ninao wategemezi mzee wangu ni mkulima.
Back
Top Bottom