we unatumia JF alafu haujui kama katiba iliyopo inakuumiza usingekua unadaiwa na nchi zingine tungekuwa na uchumi wa kujitegemea kama tukipata katiba mpya
you give, if you give up, if you give up you can lose everything, so don’t give up. If you can give up you can lose yourself and you can lose people who choose to be with you,
If you choose to start then sacrifice your life first.
Katika uongozi wa aina yoyote ile ni muhimu sana kiongozi akawa na maamuzi ya aina moja na msimamo wa aina moja, bila kujali matokeo hasi au chanya, lakini kama nchi ikiwa na kiongozi ambae kwa kawaida ni kiongozi ambae anabadilika katika maamuzi yake. kwa hali kama hii kunauwezekano wa kuja...
alafu watanzania wengi ni wavivu kufikiri acha niwaambie kitu kimoja kwa uongozi wowote ule uwe mbaya au uwe mzuri hua lazima kuwepo na watu watakao kufa ataa iwaje hii ni kutoka enzi za mababu ata kwa izi dini tulizo letewa wanasema mfalume alikua akimwabudu MUNGU lakini uyo mfalme aliua...
wewe ndio umeongea madarakani tuna kivuli tuhh kwa sasa mana nchi kila inapoitwa leo inapingwa pesaa sasa madini yamekua kama maandazi yanavyouzwa mtaani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.