Recent content by Dan Dambo

  1. D

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa Baraka zote kwa DP World kufanya uwekezaji wa Bandari

    Tumesikia
  2. D

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ushauri wa bure NMB, mimi nilifungua akaunti Mtwara nikiwa Mwalimu nimehama Mtwara tokea 2013. Kadi yangu ya ATM iliisha matumizi 2015. Nilipoenda NMB Arusha ku renew nikaambiwa fuata kadi yako ipo Mtwara au nilipe 15,000 ili itumwe Arusha. Mimi pia ni mteja wa NBC lakini u NBC wanatoa ATM...
  3. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasco mnakera. Eneo la Mikocheni B mbele ya 5 Star Apartment kuna shimo limechimbwa na Dawasco na lina zaidi ya mwaka na ni chanzo cha ajali usiku. Kwa nini wachimbe mashimo kwa ajili ya kurekebisha mifumo ya maji na kujisahaulisha? Mimi nina mwaka wa pili sipati tena sms ya bill ya maji, why...
  4. D

    JamiiForums Tanzania DC Ally Hapi aingilia kati Mandojo kuvunjiwa nyumba

    Suala la kuhakikisha wenye viwanja walivyouziwa na Manispaa ya Kinondoni wanaviendeleza kama kuweka hata nguzo na kuvisafisha mara kwa mara ni muhimu sana. Baadhi ya viwanja ni kama havina mwenyewe na ni chanzo cha uvamizi/kuuziwa watu kitapeli.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tunaporudi kazini jumanne.. Fao la kujitoa tusijisumbue kuulizia tena

    Thread hii inaeleweka ukweli ni huo mafao ni only 38% kwa waliostaafu kabla ya 31.3.18. Inauma lakini ndio ukweli.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Nawajua Vigogo 4 waliopanga mauaji ya Wyne Lotter, Jeshi la Polisi liwakamate kabla sijamwambia Rais

    Wizara ya Maliasili haina budi kuangaliwa kwa jicho la pekee kama Wizara ya Madini. Tokea miaka ya 1990's hadi sasa Loliondo na Mwarabu ni kama wimbo usioisha. Kwa nini?
Back
Top Bottom