Recent content by damuth

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dangote mnabadili siku ya interview?

    mi nilitumiwa email mbili ya kwanza ya interview na ya pili hii hapa DANGOTE INDUSTRIES LIMITED TANZANIA -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- P. O BOX...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dangote mnabadili siku ya interview?

    Mimi ni mmoja wa watanzania mliotuita kwenye interview ya tarehe 21 sasa mbona mnazingua tena eti mmebadilisha halafu hamjasema itakuwa lini eti mpaka mtakapo tutaarifu tena mnatupa hofu sana bana. mi ninahofu nafasi yangu isije ikachakachuliwa ila nazidi kuomba Mungu tu (ewe mwenyezi MUNGU...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    lini bibilia imekataza kuoa mke zaidi ya mmoja? si imekataza kuacha kisha uoe tena haijakataza kuoa na kuongeza mhhhh!!!! RIP Komba
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Mtambani Kinondoni waungua Moto

    Nimekusoma ila ww utakuwa huna akili timamu pole sana mana mm c shabiki wa dini wala siasa sorry kama nimekuudhi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Mtambani Kinondoni waungua Moto

    Nilisikiliza radio imani hadi sasa fire wameshawasili na kazi ya kuzima inaendelea vizuri japo moto ulikuwa n mkubwa sana na chanzo hakijajulikana soko la pembeni na maduka viko salama. fire wanashirikiana na wananchi kuzima moto
  6. D

    JamiiForums Tanzania eGA Practical Interview,

    pole sana ndugu hata mm cjapita mana cjafikisha marks zao za pract swali lilikuwa moja na ckulielewa vizuri ila wenzetu wa mobile application hali haikuwa nzuri
  7. D

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa mtanzania

    Forever sasa mmeamua kukusanya pesa za tiketi kweli mna uchu wa pesa ninunue tiketi na bado niwe mteja wenu na ninunue bidhaa kwenu duh..
  8. D

    JamiiForums Tanzania Matapeli wengine wa ajira hawa hapa

    tapeli mwingine huyu hapa anajiitan mr said Shekiogwe 0653513509 na huyu mr raymond 0713765442 wanataka uwatumie pesa kwa tigo pesa hatar sana
  9. D

    JamiiForums Tanzania Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    Hapa tunamshukuru Mungu wengiii wakienguliwa 70 tu 2taanza tunapoteana
  10. D

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu updates za E-Government?

    wanakaribia kutoa short list yao maana zoezi la upokeaji maombi limekamilika
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hatimae uhamiaji yametimia

    ngoja nilisake gazeti huenda nikaemo
Back
Top Bottom