Uwongo wa kipumbavu kabisa, nani anaweza kutazama mpira kwenye banda au hata nyumbani wakati mita chache kutoka hapo kuna milio ya risasi!!
Watu walitumia hayo mabanda kama vichaka vya kukimbilia wanapofukuzwa na askari.
Na baadae wanatoka na kushambulia.
Nyumbu katika ubora wako, unaijua Dunia wewe?
Nchi inaitwa Tanzania kuna sehemu hawaijui kabisa.
Sasa watajuaje habari za Lisu wakati nchi tu haifahamiki!
Walio
Waliokufa 98% ni wahalifu na walistahili kufa namna ile.
Huku mtaani ukiiba simu au hata kuku, hukumu yako ni KIFO TU
Sasa wale walikuwa MAJAMBAZI, MAGAIDI NA VIBAKA.
Walio
Waliokufa 98% ni wahalifu na walistahili kufa namna ile.
Huku mtaani ukiiba simu au hata kuku, hukumu yako ni KIFO TU
Sasa wale walikuwa MAJAMBAZI, MAGAIDI NA VIBAKA.
Acha kuongea UPUMBAVU wewe kichogo.
Unadhani Civil War ni nyepesi kiivyo?
Iran ambako raia wanaomiliki silaha ni wengi kuliko hapa Tz, walikuwa wapole mbele Jeshi.
Kuona mwenzako anaanguka chini kwa kupigwa risasi tena mlikuwa nae kwenye lengo lenu si kitu kidogo.
Ujasiri wa kusonga mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.