Recent content by Damka

  1. Damka

    Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

    Maelezo Ya Mwanzo Ndoto ya mtu kusahau passport size inaweza kuonekana kama jambo la kawaida, lakini kwa mtazamo wa kiroho, kuisahau passport size (ambayo ni picha inayotambulisha mtu rasmi) Ina maanisha kusahau au kupoteza utambulisho wako wa kiroho, wito, au kusudi la maisha. Maana Ya...
  2. Damka

    Ndoto ya usiku wa leo imenitisha, msaada kwa anayejua tafsiri au maana

    Utangulizi Mungu azidi kukutunza Mtu upendwaye Na Mungu... Katika Ndoto Nyingi nilizo kutananazo hii nindoto Nzuri zaidi Ambayo Mungu Amekupa kwa ajili yako kakueelezea kilichopo/kinacho kuja na unacho takiwa kukifanya.. Maana Ya Ndoto Mungu anakujulisha kuwa katika vita vyote au mahitaji...
  3. Damka

    Naota napaa mara kwa mara

    Maelezo Ya Ndoto Hakika wewe ni mtu upendwaye na Mungu Mistali Wa Kusimamia Isaya 40:31 [31]bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia. Maana Ya Ndoto Mungu anakujulisha kuhusu...
  4. Damka

    Nimeota hii ndoto zaidi ya Mara 30, Nini maana yake?

    Miaka nane sasa imepita nimekutana na Ndoto ya Ndugu huyu Lakini naona ni vyema kusema jambo kama vile Mungu alivyo nielekeza.. Nitasimamia Mstari wa Ayubu 33:14-15 [14]Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali. [15]Katika ndoto, katika maono ya usiku...
Back
Top Bottom