Mimi ni mwananchi wa Arusha kata ya muriet-intel karibu na idara ya maji , ni mwezi sasa wananchi wa mtaa huu hatuna maji kutoka hapo idara ya maji na hili tatizo limeota mizizi sasa maji hakuna na hua linajirudia rudia mara nyingi,
Tumejaribu kuwafata ofisini idara za maji wanasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.