Recent content by damas mlolo

  1. damas mlolo

    WALIMU WA HESABU NAOMBENI MSAADA HAPA

    Andaa mwenyewe, mpango kazi unakuhusu wewe.
  2. damas mlolo

    Tuambizane: Ni ipi hatma ya Wanafunzi wa Kidato Cha Sita waliopata Div.III?

    Wanafunzi waliopata Division 3 ,waombe vyuo vya hadhi yao.
  3. damas mlolo

    Tukio usilolisahau ukiwa Primary School

    Mi nakumbuka kuanzia darasa la kwanza hadi la nne sikuwa navaa viatu. Sasa wakati wa kiangazi muda wa saa nane parade mchanga ulikuwa unaniunguza nyayo kinooma. Nilijikuta napiga makitamu bila kuambiwa.
  4. damas mlolo

    Tanzania Yenye Neema Inakuja! Hongera Rais Magufuli

    Kwa upande wangu ,ktk maisha yangu hakuna kipindi cha mvua wala masika.Vipindi vyote kwangu ni neema.
Back
Top Bottom