Huna kosa kwenye macho ya sheria..kwa sababu kama ungekuwa unajua kuwa yule mwanamke kwenli kaolewa ana mume wako Kabisa, hapo ungekuwa na kosa na ungeshitakiwa kwa kula mke wa mtu .lakin kwakuwa mwanamke alikataa kama kaole a badala yake ni single mother...hiyo sababu pekee inakuondolea kosa...
Hana kosa lolote maana alipata ushirikiano mkubwa toka kwa mwanamke...na pia ukiangalia mda aliokaa huyo mune wake miaka minne...mingi mno...hapa mwanamke ndo Mwenye makosa maana alidanganya!! Jamaa hana kosa,hapa aende tuu ustawi wa jamii...
Wakili kwenda faragha na shahidi ni kosa pia..maana kule wanaenda kufanya kosa kisheria (coaching witness!!) Ambayo hairuhusiwi..maana inasababisha miscarriage of justice [emoji109]
Kama wanafanya hivyo ni wahuni na wapi kinyume na sheria
Kama shahidi atakimbia cross examination baada ya kutoa ushahidi wake...basi ushahidi wake utatupiliwa mbali (hautatumika) at some point, shahidi atashitakiwa kwa kudharau mahakama! Kwa sababu ukisha apa,lazima uwe binded na Amri ya mahakama ambapo ni pamoja na kutoa ushahidi kama inavyokupasa
Imeisha .....wala asisumbuke Sana, maana hii order ( eviction notice) ikitolewa na mahakama afu akakaidi...tayari atashughulikiwa na mahakama (contempt to court)[emoji109]
Pole Sana,
Kuhusu kosa la kutoa Mimba Hilo report tu polisi,linatosha kumtia hatiani .ambapo pamoja na Hilo la kukutishia,matusi yataunganishwa.....(makosa ya jinai hayo)
NB.. kuhusiana kukosa ushirikiano toka kwa familia yake...inategemea maneno aliyowapandikiza kuhusu wewe! This is common!
Ndugu wasomaji, natamani na nahitaji niingie kwenye kilimo Cha maharage, nipo Njombe, ni Aina ipi inafaa saana hasa yenye Bei nzuri na mavuno mazuri niitumie?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.