Recent content by DALT

  1. D

    Wazungu wanafanyaje mpaka Watoto wadogo chini ya miaka 13 wanahitimu degree kwenye vyuo vikuu majuu

    Shida sio kwamba watoto wetu hawana uwezo bali ni mifumo mibovu ya elimu tuliyonayo.mfano unakuta mtu anasoma mpk kidato ch nne lakin haelewi hata anataka kuwa nani,na nchi hii wasomi ni wengi na uwezo wa nchi kuwamudu ni mdogo na hivyo lengo kuu ni kupunguza wasomi kwa njia tofautitofauti,hii...
  2. D

    Vitendo na nadharia kwenye afya

    Habari wanandugu, Hivi kati ya nadharia na vitendo katika kozi ya utabibu wapi ni pagumu zaidi, yaani Kama ni mwanafunzi unakuta anajua nadharia vizuri lakini ukimpeleka kwenye vitendo hajui na mwingine anajua vitendo lakini nadharia hajui. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza mpaka Sasa...
  3. D

    Chukua mbinu hapa utatoboa vyuo afya vya serikali

    Ni kwel kabsa Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
  4. D

    Chukua mbinu hapa utatoboa vyuo afya vya serikali

    Habari wanajamii ,hivi ni mbinu gani walizotumia kufaulu vizuri na kupata gpa nzuri ya kwenda degree kwa wale walioanzia diploma za afya kwa vyuo serikali Kama vile phamacy, clinical medicine na nursing, maana naskia kufaulu vyuo vya serikali kwa GPA kubwa ni ngumu kuliko vyuo vya private.tupeni...
  5. D

    Ana mshahara wa 650000 anataka kuchukua mkopo

    We nisaidie tu siitaji kuzitumia hizi kw Sasa nataka nizipige fixed account kwa miaka 3 Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
  6. D

    Ana mshahara wa 650000 anataka kuchukua mkopo

    Naomba calculation ya fixed account kwa crdb mkuu, Kama mtu akiweka 60milion atapata shingap kila mwezi kwa miaka 3 Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
  7. D

    Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

    Pesa kuitoa ni simple sana lakini kuidumisha katika mzunguko inahitaj kujitoa,kujituma,na kufanya tafiti za kina zaidi Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
  8. D

    Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

    Na ni pesa ya uhakika ambayo hutumii nguvu nyingi kuipata japo ni kwa kiasi kidogo lkn hicho kidogo ndo unaweza fanyia kitu Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
  9. D

    Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

    So simple Kama unavyodhani unakijua kideri wew[emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
  10. D

    Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

    Na unaruhusiwa kuweka kwa miaka mingapi Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
  11. D

    Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

    Na unaruhisiwa kuweka kwa miaka mingapi mwisho Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
  12. D

    Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

    riba ni nini hakuna biashara isiyo na riba,ko hata ukinunua kitu kw Mia 500 na ukauza 700 ,hiyo 200 ya faida ni sawa na riba tu,Kama unataka uhalali labda uuze mia500 hiyohiyo,ko Cha msingi ni kufanya Jambo ambalo halimzulu mwingine Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
  13. D

    Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

    Hakika sitaki kupima kina Cha maji kwa miguu yote miwili Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
  14. D

    Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

    Mambo ya kuokota dodo ndg ni kw mtu yoyote,so kwa kila mtu,unaweza Jenga kwa bei ndogo na ukauza kw bei ndogo zaidi, lazima uwe na jicho la mbali. Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
  15. D

    Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

    Asante ,ujue watu wanaweza kukuona mjinga ukifanya hivi lkn wenye macho ya mbali wanaelewa, Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom