Asante sana mkuu..Hivi Lege kapotelea wapi, namtafuta kwenye Ile namba simpati, au kama unamfaham fundi mwengine competent alieko dar es salaam, naomba niunganishe nae mkuu Mshana
Habari za mchana wakuu, hivi Ile symbol ya Engine coolant temperature inapowaka huku ikiwa na rangi ya blue inaashiria Nini..Nikiwasha gari inajitokeza halaf inachelewa kuzima
Identity ya Tanga ni wasambaa, hao wadigo na wabondei wao kazi yao ni kucheza bao na draft..Msambaa popote utakapomkuta anasifika kwakuchapa kazi, hata kwa elimu hakuna kabila lolote Tanga lililowazidi wasambaa, hata kisiasa Wasambaa ndo wanaongoza kwakutoa mawaziri wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.