Wakuu hii kitu izingatiwe kuwa tulilia na Serikali na barabara nyingi ktk hifadhi na hasa Ngorongoro Crater zimefanyiwa maboresho Makubwa.
Hongera Mamlaka ya NCAA kwa kusikiliza Kilio Chetu wadau wa Sekta ya Utalii.
Mama anaupiga mwingi.
Idris gana Gueye
Sunday Oliseh
Bonar Sarr
TikoTiko
William Fanbulehr
Pape matar Sarr
Rigobert Song
Mbuyi Jean Marii
Ibrahim Sangare
Nicholaus Haller
Rodjers Matto
Che fondoh Malone.
Soma dokezo vizuri..nimeizungumzia sharp kona barabara yenye perving wakti unapanda iongezwe mita hata mbili,gari mara nyingi haimalizi hugota ktk mwamba.
Rais Samia
Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa.
Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater.
Mh Rais ni kwamba Mamlaka ya Ngorongoro imeshindwa kuchonga Mwamba hata mita mbili ili kuondoa wimbi la ajali inayotokea...
R.I.P Lyatonga..tulipigwa bomu tukiwa na Lema Mwaka 2005 Pale Friends Corner Arusha Nikampa maji ya Kunawia Uso,Sijapost kitu kupitia ID hii nadhani toka 2017.Kwa heshima yake Nimejitokeza
Wanamichezo, asalaam
Nimeshtushwa na Maoni ya Beki wa Mtibwa aliyepata kucheza Afrika Kusini na Simba Abdi Banda kuibagaza Simba na Serikali kipitia Vyombo vya Habari nje ya nchi
Tuna Diplomasia mpaka ya michezo, kitendo cha Banda kuropoka ovyo tukirejelea mechi ya Kaiser Chiefs akiwapa mbinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.