Recent content by dallacin

  1. dallacin

    JamiiForums Tanzania Jaji Sinde Warioba kanishangaza

    Ndugu kiranga nilivyomuelewa mm lowasa anandoto ya urahisi na anamipango aiwezi timia bila ya kofia ya urais hivyo lazma afight ili mipango yake aitimize inshot anasumu ngoja afanikiwe utaiona na wapinzani wake wanajua endapo.....!!! Watahama nchi
  2. dallacin

    JamiiForums Tanzania Lowassa ashindwa kujibu madai yake ya kwenda Vita vya Kagera

    Nibora kutoa msumari mguuni kwa dawa kali iumizayo kuliko kukaa nao msumari wenye kutu kwa mda wa miaka 50
  3. dallacin

    JamiiForums Tanzania GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Nichama ndani ya chama
  4. dallacin

    JamiiForums Tanzania GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Km ukisoma vizuri mabango yanasema chagua magufuli sio ccm hivyo tofautisha inamana kutoka ccm kwenda mafugufuli ni ukombozi
  5. dallacin

    JamiiForums Tanzania Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    Nachukia habari zisizo napicha tutaaminije
  6. dallacin

    JamiiForums Tanzania Ikarusi Kumbakumba

    Hilo bana kumbakumba lenyewe
  7. dallacin

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni tiba ya ugonjwa wa mtu kula magodolo ni ipi?

    Alale namkate
  8. dallacin

    JamiiForums Tanzania CCM imekufa kabisa

    Huyo lizaboni anaboa sana kwani lazima ujibu siuache wenye ukawa yao au ilimradi tu badilika au anzisha ya kwako
  9. dallacin

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Ndugu yangu mbona km haupo kilichozungumzwa ni mfumo wa chama ulimbana ( wakulindana ) sasa angeweka wazi hayo si wangemkolimbaa
  10. dallacin

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Mkuu saa ngapi nikafukuze watoto seblen nijimange
  11. dallacin

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za ushindi wa CCM

    Embu tufafanulie wakishachukua namba inawasaidiaje...?
  12. dallacin

    JamiiForums Tanzania Makao makuu CUF: Ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ushiriki wao UKAWA

    HUU NDIO UKWELI Nitashangaa sana iwapo katika UKAWA mgombea urais wa muungano atoka cuf na wa zanzibar cuf. huo utakuwa sio umoja bali ni umwinyi. kwa maoni yangu mgombea wa urais wa ukawa wa muungano anapaswa kutoka CHADEMA,NCCR MAGEUZI ama NLD. nje ya hapo ni unafiki tu..
  13. dallacin

    JamiiForums Tanzania NOMINATION PROCESS ndani ya CCM 2015:Asante Kikwete

    SijaelewA point ilipo
  14. dallacin

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Naimani kikao kishaisha ila wanajifikilia jinsi yakutoa jibu kwa walengwa je ? ...patamu hapo
Back
Top Bottom