Re: Picha Ya Mh. Lowassa: "I am Fit For Fight" Angalia Mkono wa kushoto . . . .
Hata hivyo Mh. uso wake unaonyesha ushujaa wa ajabu ingawa Mrs anaonekana amezama kwenye lindi kubwa la mawazo . . .
Na hilo jicho lake la kushoto vipi? Stroke?
Guys, I have a different problem. Ninataka kuangalia TBC1 kupitia mtandao kwenye computer yangu. Nilipata hii link lakini niiweka kwenye VCL player ya computer yangu inaniuliza username na password...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.