Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Watapiga kura wakati unaambiwa hawakujiandikisha ? Nadahani hili si la kuupuza kwa faida ya chaguzi zitakazofuata.Siyo kila jambo ni la kupuuza..! Kuna POINT hapa. Inabidi makamanda wote wahamasishe vijana wote waliojiandikisha waende kupiga kura. Ikumbukwe Mtaji wa CCM ni wazee na Wanawake wanaoogopa mabadiliko pamoja na ujinga wa baadhi ya Watanzania.