Recent content by Dalalimwanyika

  1. Dalalimwanyika

    SoC02 Mimi ndiye adui wa maendeleo ya vijana ninayelipa kodi

    Mkuu umetisha sijaona sehemu hata moja ya kukukosoa ila bahati mbaya mimi sio mpenzi wa betting mkuu. Hivyo najishughulisha na kilimo na ufugaji maporini.
  2. Dalalimwanyika

    SoC02 Nilivyobuni kifaa cha kutatua changamoto ya malipo ya bili za Umeme kwa wapangaji

    Sayansi tunasomea ila technology tunatoka nayo kwa mungu tunaita kipaji. Watu kama hawa ndio hurahisisha maisha ila anakosa saport kwa sababu mbalimbali za kibinadamu mkuu ukihitaji chochote kama sina nitakuunganisha na wadau mkuu.
  3. Dalalimwanyika

    SoC02 Nilivyobuni kifaa cha kutatua changamoto ya malipo ya bili za Umeme kwa wapangaji

    Mkuu ningekuwa na uwezo kukusaidia ningekupa ila sijashindwa sanaa hata 10000 nayo si haba.
  4. Dalalimwanyika

    Kuonekana makundi ya ngono na lugha nisizoeleweka

    Hiyo kama walivyotangulia waungwana unaaccept sana friend bila kukagua prifile zao na pia unashare sana baadhi ya maudhui hayo ya hizo picha na groups zao . cha kufanya ingia kwenye profile yako halafu jitoe kwenye hizo group na unfriend baadhi ya marafiki wabaya hasahasa wa kihindi...
  5. Dalalimwanyika

    Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

    Kizazi jeuri POLISI kizazi jeuri RAIA moto motoni
  6. Dalalimwanyika

    Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

    Hivi kirefu cha RCO ni nani maana nimeona tena RPC amesema uchunguzi utafanyika hawa ni watu wawili tofauti?
  7. Dalalimwanyika

    Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

    Ni bahati mbaya za kazini wakuu. Hata ungeenda wewe yamkini dogo kizazi jeuri akajibu hovyo . japo sisapoti kifo cha mtu yeyote ila tusubiri uchunguzi
  8. Dalalimwanyika

    Mfalme anaapishwa hadi kiti anajisogezea mwenyewe, ingekuwa wafalme wetu hapo

    Kweli they kill our grandparents till this moment they do the same. [emoji3578][emoji3578][emoji3578]
  9. Dalalimwanyika

    Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

    Ni huyu jamaa tu Mimi nilishaisahau
Back
Top Bottom