Recent content by Dalali444

  1. D

    Tanzania Ina Nini cha Kujivunia?

    Wana JF, Wiki iliyopita nilipata mtihani mgumu baada ya mgeni wangu ambaye namuheshimu sana alipoamua kunitupia suala ambalo sikulitarajia.Sijui yalimjia mawazo gani lakini wakati tunakaribia kuagana ghafla aliniuliza kwa kizungu "Are you proud of your country?" Nilishusha pumzi na...
  2. D

    Kwa Nini CCM Inashinda Chaguzi "Kwa Kishindo"?

    Ni jambo la kushangaza sana kuona tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi TZ, vyama vya upinzani vimekuwa vikididimia wakati CCM ikizidi kushamiri na "kushinda" kila uchaguzi kwa vishindo. Inashangaza ikiwa utachukulia wingi wa kura wanazopewa CCM kama ishara ya kushukuriwa kwa mazuri...
  3. D

    Fadhila za Muungano kwa Zanzibar

    Na hiyo Tanzania bara/Tanganyika ni lini imejiedesha yenyewe tangu kupata uhuru? Si kila mwaka inaomba misaada kila pembe ya dunia na karibu 40% ya bajeti yake ni misaada? Sasa hao kina Maliyamkono wamesema pia kwenye kitabu chao kuwa "Without donor aid, there is no Tanzania"? Na mapendekezo yao...
  4. D

    Fadhila za Muungano kwa Zanzibar

    Jokakuu na Majoka Madogo, Mimi sina haja ya kutafuta kitabu cha Maliyamkono wala Maliyamguu. Ukweli naujua vizuri kama wanavyoujua Wazanzibari wengi. Wewe tafuta hicho kitabu halafu utupe "quotes" zinazoonesha ni kiasi gani cha Matrilioni Tanzania imepokea kama misada katika kipindi chote cha...
  5. D

    Fadhila za Muungano kwa Zanzibar

    Jokakuu na Majoka Madogo, Mimi sina haja ya kutafuta kitabu cha Maliyamkono wala Maliyamguu. Ukweli naujua kuliko huyo Maliyamkono.Wewe tafuta hicho kitabu halafu nipe quotations zinazoonesha Tanzania imepata misaada kiasi gani katika kipindi cha miaka 46 ya Muungano kisha na Zanzibar imepewa...
  6. D

    Ni nani baba wa taifa?

    Mimi nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hii dhana ya Baba wa Taifa na hasa kwa nchi yetu ya Tanzania. Ninavyofahamu mimi mtu anayepewa heshima ya kuwa Baba wa Taifa ni yule muasisi wa mwanzo ambaye alifanikisha kuzaliwa kwa hilo Taifa lenyewe.Hapa kwetu Tanzania tunaambiwa kuwa Mwalimu Nyerere...
  7. D

    Fadhila za Muungano kwa Zanzibar

    Nd. wana JF, Naomba kidogo nitoe maoni machache kuhusu hoja zinazotolewa mara kwa mara na watu ambao wanashangazwa na manun'guniko ya Muungano. Kuna wale wanaodai kuwa bila ya Muungano Zanzibar itaangamia. Wanadai kuwa Zanzibar haiwezi kujitegemea na kwa hivyo haiwezi kusimama kama nchi...
Back
Top Bottom