Binafsi kulingana na pirikapirika zangu Kuna watumishi Hawa wawili hua naona hawana wito wa ajira Yao
Nawataja hapa kwavile mara nyingi nikifata huduma Yao majibu Yao au utoaji huduma wao unaweza jikuta unapanick sema ukicheck wewe ndio mwenye shida ya huduma inabidi tu utulie
Ebwana Kuna huyu...
Shukrani mzee, nimefanikiwa baada ya kujaribu kwenye simu
Nafikiri na wale wote mlioshindwa mara ya kwanza jaribuni kwenye simu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nimewapigia wanasema itakua sipo sehemu yenye internet vizuri, mliofanikiwa mmetumia internet ipi kwa hapa Dar es salaam?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
NAHITAHI TV INCH 50
IWE HISENSE, LG , SAMSUNG AU BRAND INAYOFAHAMIKA
OFA LAKI NANE KAMILI,
NIPO DAR ES SALAAM
IWE HAINA TATIZO LOLOTE
CALL/WHATSAPP 0753285898
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nahitaji TV inch 50 iwe hisense, lg, Samsung au brand inayofahamika ofa laki nane kamili, nipo Dar es salaam iwe haina kipengele chochote call/whatsapp 0753285898
Kutotaja brand means mtu anshitaji brand yeyote kigezo kikubwa ni size inayohitajika na imekua mentioned hapo?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.