Chumba Sebule na Choo ndani.
Tiles, gypsum, Maji ya dawasco, ndani ya fensi & Umeme Luku.
Tshs 150,000/Mwezi, Miezi 6 inatakiwa.
0675107182
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Nyumba za Kupanga haipo ivyo Mkuu, dalali huwa tunachukua Kodi ya Mwezi 1 ( Nusu Mwezi Kwa Mpangaji na Nusu Mwezi Kwa Mmiliki ) so Kwa mazingira hayo dalali kama ataongeza Kodi atakuwa anamfaidisha Mmiliki tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani, hizo bei zinazoainishwa ni Kwa mujibu ya Wamiliki ( Wenye Nyumba ) lakini pia Soko la Nyumba MbeziBeach ndiyo lipo ivyo. Kama uamini tafuta jamaa au rafiki aliyepanga MbeziBeach muulize analipaje? Zingatia location ya Nyumba, status ya Nyumba na services zinapatikana ndani ya Nyumba kama...
Sasa wewe dalali apange bei Kwani yeye Nyumba yake??? Hivi Wewe Nyumba yako alafu mtu akupangie bei inaingia akilini??? Jaribu Kuwaza Kwa Mapana, dalali ni mtu wa kati tu Maelewano ya mwisho ni baina ya mpangaji na mmiliki
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.