Recent content by dalali jugo

  1. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    Sawa mkuu nashukuru
  2. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    Upande huu wa shuleni liwiti
  3. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    Daah [emoji3][emoji3][emoji3]
  4. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  5. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    Sqm 380
  6. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    Nimeweka, mil 65
  7. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    Nyumba inauzwa tabata ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja master Sebule kubwa Jiko Dinning Stoo Bei mil 65 mazungumzo yapo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

    Watu wanaropoka tu hawajui lolote, kuna mwengine hata kikosini hajaenda kaambiwa asiende tena na huyo utasema atakukaba?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

    Ya kawaida tu kuna watu wameongea zaidi haya post za juu, alafu bongo bhana nchi za watu watu wanajua mengi sn kuhusu jeshi na raia wa kawaida tu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

    Hata polisi majukumu yao yanapangwa kwa kitengo chako sio cheo chako mfano wote mnaweza macpl lkn mmoja akawa trafki, mwengine dereva mwengine ffu Kwahiyo kamwe huwezi kujua majukumu ya kila cheo jeshini hata wanajeshi wenyewe hawajui Cpl jkt itende mbeya hawezi kujua majukumu ya cpl comando...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

    Upo sahihi kabisa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

    Majukumu ya kila siku hayapangwi kwa cheo chako yanapangwa kulingana na kitengo ulichopo Mfano cpl ni MP, majukumu yake yatapangwa na mp kamanda na kuhusu mambo yao ya mp, yani mp's wote majukumu yao yatakuwa sawa kuanzia private na vyeo vyengine Haiwezekani cpl wa lugalo na cpl airwing majukumu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Toyota altezza inauzwa

    Unacheka sio? Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  14. D

    JamiiForums Tanzania Toyota altezza inauzwa

    Na mm naomba namba ya dada yako Mage au nae kaolewa? Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  15. D

    JamiiForums Tanzania Toyota altezza inauzwa

    Mm bwana siku zote kama mtu namjua wala simuogopi, kwanza najua ananijua na yeye namjua kwahiyo hawezi kunifanya kitu sababu ya kujuana na aibu, ndomana unaweza kukuta unandugu yako polisi au mwanajeshi wala humuogopi mnaweza kugombana na kutukanana na asikufanye kitu chochote zaidi ataomba...
Back
Top Bottom