Recent content by Dalali Dar es Salaam

  1. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania Nissan X-trail inauzwa 6mil tu

    The distance that a vehicle has travelled or the distance that it can travel using a particular amount of fuel: . . Kwa hisani ya watu wa Google.
  2. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania Nissan X-trail inauzwa 6mil tu

    ~Full : AC ~Full documents ~Mileage :112000km ~Engine : ndogo ~Gari nzuri sana haina shida yoyote ~Price 6mil. . . Call 0654269099
  3. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA KISASA INAUZWA GONGOLAMBOTO-ULONGONI 50M.

    Wenye nia wanapiga simu na kuja kuona nyumba wakati wewe unahangaika na picha.....kalaga baho!
  4. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA KISASA INAUZWA GONGOLAMBOTO-ULONGONI 50M.

    Nyumba bado ipo, karibuni
  5. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA KISASA INAUZWA GONGOLAMBOTO-ULONGONI 50M.

    Nyumba hii ya ksasa kqbisa ipo Gongolamboto-Ulongoni. Ipo centre kabisa na ni mwendo wa dakika 10 kwa bodaboda mpaka stand ya daladala Gongolamboto. ~Ina vyumba 3 na 1 ni master bedroom. ~Dinning ~Kitchen& store ~Public toilet ndani na nje ~Fense ~Tiles ~Gypsum ~Haina deni wala mgogoro ~Maji na...
  6. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

    Kalaga baho!!! GEZUZ.
  7. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

    Vimeisha vya laki 8, vipo vya 2mil GEZUZ.
  8. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

    Tupe kifungu cha sheria kinachokataza au kuweka sharti hilo ku-support hoja yako. . . Watanzania wengi huku mikoani tunamiliki Ardhi kwa mifumo hii hata serikali kuu inalijua hilo na ndo maana inakuja kuturasimisha ili kuondoa migogoro ya Ardhi GEZUZ.
  9. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

    Hawa watu waajabu sana,ni wa kuwahurumia tu. GEZUZ.
  10. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

    Unazungumzia sheria za nchi gani sijui,si hapa nchini kwetu Tanzania hivyo hoja yako haipo GEZUZ.
  11. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

    Vya bei hiyo vimeisha,vipo vya 2mil tu bandiko lake litafuata GEZUZ.
  12. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

    Unashangaa Ardhi kuuzwa laki 8? Kweli wabongo hamna jema GEZUZ.
  13. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

    Kuna watu wanajifanya hawajui kuwa thamani ya Ardhi hupanda na kushuka kutegemeana na mazingira na hali ya wakati husika GEZUZ.
  14. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

    Ikumbukwe urasilimishaji Ardhi haujafanyika sehemu kubwa ya nchi hivyo Ardhi kubwa inayomilikiwa na watu ni kwa idhini ya Halmashauri kupitia serikali za mitaa(nirekebishwe ikibidi) . . Documents zilizopo ni za serikali ya mtaa wa Galagaza. HATA HIVYO VYA BEI HIYO VIMEISHA VIMEBAKI VYA 2M. GEZUZ.
  15. Dalali Dar es Salaam

    JamiiForums Tanzania BIASHARA YA MITUMBA.

    Biashara ya mitumba inalipa sana ila inahitaji juhudi na ubunifu wa hali ya juu, Unaweza fanya kwa kuzunguka au hata kuweka kwenye flemu, Ni vile we we utaona inafaa japo ya flem ni nzuri zaidi kwani ni rahisi kutengeneza wateja wa kudumu. Belo nzuri (grade AA) ya 45kg pale M/mmoja inauzwa kati...
Back
Top Bottom