Recent content by Dalali Classifieds

  1. D

    Dalali Classified Ads

    Tumeweka two factor authentication wakati wa kujisajili ili kuepusha watu kupost bidhaa za uongo. Yani mtu anapojisajili atatakiwa kuweka number yake ya simu na atatumiwa sms yenye short code ambayo ataingiza kwenye website ili kukamilisha kujisajili.
  2. D

    Uchumi wa Tanzania unaelekea wapi? Mauzo DSE yashuka kwa asilimia 81. Haijawahi kutokea

    Hii habari haijitoshelezi, huwezi angalia mawimbi ya maji yanavyosogea baharini ukasema maji ya bahari yamepungua au yameongezeka. Uchumi wa nchi ni tofauti sana na uchumi wa mtu mmoja mmoja. Masoko ya hisa dunia nzima yameshuka sio Tanzania tuu. Wangetueleza mara ya mwisho soko la hisa...
  3. D

    MALEZI: Nilichokiona kwenye gari la shule la watoto wetu

    Tuwe makini pia na vipindi wanavyoangalia watoto kwenye TV. maana vipindi vya siku hizi wanaonyesha ushoga kama jambo la kawaida. na kama mtoto hajawahi kuonywa au kuelimishwa atachukulia moja moja ni kitu cha kawaida na adhari zake ni kama tunazoziona sahiv.
  4. D

    Dalali Classified Ads

    Sasa unaweza kuwasiliana moja kwa moja na mwenye mali kwa message kupitia website yetu.
  5. D

    Dalali Classified Ads

    Dalali inaungaisha wateja na wafanyabiashara kupitia tovuti yake www.dalali.co Unachotakiwa kufanya ni kujisajili, na kuweka tangazo lako bure kwenye website ili kufikia wateja wengi wanaotembelea website yetu kila siku.
  6. D

    Dalali Classified Ads

    Dalali inaungaisha wateja na wafanyabiashara kupitia tovuti yake www.dalali.co Unachotakiwa kufanya ni kujisajili, na kuweka tangazo lako bure kwenye website ili kufikia wateja wengi wanaotembelea website yetu kila siku.
Back
Top Bottom