Recent content by Daktari wa Instagram

  1. Daktari wa Instagram

    Sijawahi kufika kileleni

    Jana nilieka post hapa jamii forum kuhusu hilo tatizo lakini nashangaa ikatolewa....Okay na mie nasubiri kutolewa. My post ilikua hivi: Kwa uzoefu wangu kama daktari kuna wanawake wamepata kuniambia hawajawahi kufika kileleni wakiwa na wapenzi wao mbali wakiwa pekee yao na kwa kubana mapaja...
  2. Daktari wa Instagram

    Msaada kuzuia mimba baada ya sex

    Pole sana lakini usiwe na hofu inaweza kumtokea mtu yeyote yule. Njia ya kuzuia mimba ziko mbili. 1) kama umefanya mapenzi ndani ya masaa 72 basi unaweza kutumia njia ya kuzuia yai lisitoke, na kama lilikua limeshatoka wakati unafanya mapenzi basi lisikutane na mbegu ya kiume.(Yai huishi...
  3. Daktari wa Instagram

    Je unafahamu hili kuhusu makucha yako?

    Binadamu tunatumia pesa nyingi sana kutunza makucha yetu, bila kuzingatia ya kwamba hamna kitu chochote kile utakacho nunua chenye kufanya makucha yako yakue haraka na kuwa imara. Makucha yana seli iliyokufa kwahio hamna 'growth formula' au 'nail builder' ambayo itasaidia yaote haraka. Dawa...
  4. Daktari wa Instagram

    Ukila kinyesi/choo cha binadamu utatibu ugonjwa huu

    Mkuu wa chuo , Anzisha tread ya Irritable bowel syndrome.
  5. Daktari wa Instagram

    Ukila kinyesi/choo cha binadamu utatibu ugonjwa huu

    1)Crohns disease inaathiri njia yote ya chakula kwanzia mdomoni mpaka kwenye mkundu lakini c.difficile anapatikana utumbo mkubwa na ndo anaposababisha madhara ya kuharisha sana. 2)Fecal transplant inaua bacteria hatari clostridium difficile ambae analeta diarrhea...wengine wanaita C.difficile...
  6. Daktari wa Instagram

    Msaada: Mwanangu kala kinyesi chake

    Ni kweli ila sio kila kitu anachokunywa mtoto anatakiwa kutapishwa. Mfano mzuri ni mafuta ya taa;watoto wadogo wanakunywa sana mafuta ya taa, ambayo mzazi anakua ameeka kwenye chupa haswa chupa iliyokua na maji ya kunywa. Watoto hao hutapishwa,na fumes au matapishi kiasi huingia kwenye mfumo wa...
  7. Daktari wa Instagram

    Ukila kinyesi/choo cha binadamu utatibu ugonjwa huu

    Asante Mkuu wa chuo, nimejitahidi kutumia lugha ya kawaida badala ya medical terminologies ili non medics nao waweze kusoma na kuelewa. Naomba nikujibu as follows 1) Ulcerative is an autoimmune disease that makes the bacteria clostridium difficile more likely to florish. Fecal transplant...
  8. Daktari wa Instagram

    Msaada: Mwanangu kala kinyesi chake

    Haina madhara kwa mtoto kula kinyesi chake mwenyewe. Mfano - mtoto mchanga hupewa choo cha mama yake ili bacteria wazuri wawepo na washamiri kwenye utumbo mkubwa wa mtoto.
  9. Daktari wa Instagram

    Ukila kinyesi/choo cha binadamu utatibu ugonjwa huu

    OKW BOBAN SUNZU ,pole sana kwa mwanao kula kinyesi. Naomba usome post hii.
  10. Daktari wa Instagram

    Unajua jinsi ya kuhesabu mateke ya mtoto wako tumboni

    Unajua jinsi ya kuhesabu mateke ya mtoto tumboni? Kila mwanamke mjamzito anapaswa kujua jinsi ya kuhesabu idadi ya mateke ya mtoto wake. Mtoto mwenye afya nzuri HUCHEZA; hujinyoosha, hupiga teke, hujigeuza kila siku,haswa baada ya mama kula au kufanya shughuli ndogo ndogo. Kuna wakati...
  11. Daktari wa Instagram

    Ushawahi jiuliza kwanini una nywele fupi na mwenzio ana ndefu

    Miss Chaga...ongeza bajeti upande wa chakula, na kucheki afya. Stress ya aina yeyote pia hufanya nywele kuingia kwenye catagen stage.
  12. Daktari wa Instagram

    Ushawahi jiuliza kwanini una nywele fupi na mwenzio ana ndefu

    Umewahi kujiuliza kwanini kuna watu nywele zao huota na kua ndefu lakini wengine nywele zao zinaonekana kama hazioti? >Kila Nywele hupitia hatua tatu muhimu katika mzunguko wa uhai wake. 1) Anagen- Nywele huota na kuongezeka urefu na kipindi hiki kinadumu kati ya miaka 2 hadi 8. Kipindi kikiwa...
  13. Daktari wa Instagram

    Ukila kinyesi/choo cha binadamu utatibu ugonjwa huu

    Je unajua kuna ugonjwa ambao tiba yake ni kula kinyesi? NDIO unakula mavi yaani choo cha binadamu. Ugonjwa huo unaitwa ulcerative colitis unasababishwa na bacteria C.difficile. Ni ugonjwa ambao unakufanya unaharisha sana, yaani siajabu kuhara hata mara arobaini kwa siku. Bila tiba unaweza...
Back
Top Bottom