Recent content by Daiyan

  1. D

    JamiiForums Tanzania Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

    Ndio yeye sema kitambo sikumbuki alikuwa anajishuulisha na nini
  2. D

    JamiiForums Tanzania Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

    Mi nimekulia banana hii sura sio ngeni sema kama alikuwa mtu wa kanisa kanisa hivi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Wakati tunasubiri arsis tupe darasa mkuu upo vizuri
  4. D

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Jamaa kapotea wengine tunaingia humu kwa ajili ya kisa hiki ,kila ukiingia hola
  5. D

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Mimi swali langu je kweli kuna hela za majini yani mtu anaenda kwa mganga ,halafu kuna mashart anapewa akiyaweza anakuwa tajiri kuna ukweli hapo?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Endelea na kisa cha adam hapa hapa usifunguwe uzi mwingine,pia Maliza hiki kisa cha Adam ndio urudi kwenye zile hadith za vibuki ndio tutaelewa,tatzo watu wanpendq vitu laini laini
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

    Si unamuacha tu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa Shoti ya Umeme. Nilichokiona Sitaki ufundi tena

    Ndio zangu hizo namimi siku zinahesabaika maana napanda mpaka juu ya dari
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nina maumivu makali sana kutokana na kupoteza muda kwenda mkoa mwingine kutoa mahari binti akajificha na kutoweka

    Mkuu taja kabila usaidie vijana hizo cret 4 bora ungenunulia masela mtaani ukichelewa kurudi wasikukabe
Back
Top Bottom