Recent content by daida

  1. daida

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini CCM inachukiwa sana mitandaoni? Imekosa nini?

    ni wale 11 elfu tu
  2. daida

    JamiiForums Tanzania Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    hii post matatizo
  3. daida

    JamiiForums Tanzania GEITA NA KIJANA ALIENYESHEWA MVUA:AKIMSUBIRI MKUU WA MKOA,

    ni sawa lakini mikoani pia kuna watu watanzania na wanateseka nyinyi mnaoishi jijini mnafurahia sana kusikia taarifa. zenu zikitangazwa za bomoabomoa,
  4. daida

    JamiiForums Tanzania GEITA NA KIJANA ALIENYESHEWA MVUA:AKIMSUBIRI MKUU WA MKOA,

    bagi eti ehee
  5. daida

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali na siasa za mishahara

    workers can be motivated by economic incentives but also demotivated by environment, unaecheka mtumishi alikopa mshahara akanunua uwanja huyo alitaka aboreshe mazingira ya nyumbani kwake afanye kazi kwa amani bila kubuguziwa kodi na mwenye nyumba,ni ujinga mkubwa sana kuona mtumishi hapewi...
  6. daida

    JamiiForums Tanzania GEITA NA KIJANA ALIENYESHEWA MVUA:AKIMSUBIRI MKUU WA MKOA,

    hoja nikwamba aliemsubiri kwa hamu MKUU wa mkoa huku akinyeshewa mvua hatukuona malamiko yake ,lakini pia kama aliongea pumba kinyume na maadili ya uandishi na penyewe ingelifaa zaid kama MTU angenielewesha
  7. daida

    JamiiForums Tanzania GEITA NA KIJANA ALIENYESHEWA MVUA:AKIMSUBIRI MKUU WA MKOA,

    ITV LEO MMEONESHA MALALAMIKO YA WACHIMBAJI WADOGO MKOA WA GEITA NADHANI NI MBOGWE, NAULIZA KIJANA ALIEKUWA ANANYESHEWA MVUA ALIKUWA NI BUBU HUKU AKIMSUBILI MKUU WA MKOA?KAMA ALIKUWA ANAONGEA ,ALIONGEA PUMBA BAADA YA KUMUHOJI AU ILIKUWAJE YEYE HAKUSEMA,?,KAZI YA KUANGALIA TAARIFA YA HABARI NI...
  8. daida

    JamiiForums Tanzania Rais azima political revolution 2020

    hata mm najua hawatachangia
  9. daida

    JamiiForums Tanzania Rais azima political revolution 2020

    hatuandiki nyuzi kukufurahisha ww isipokuwa constructive idea za kujenga siasa safi
  10. daida

    JamiiForums Tanzania Rais azima political revolution 2020

    mwambie mboye asimpokee nyarandu kama hataki propaganda
  11. daida

    JamiiForums Tanzania Rais azima political revolution 2020

    uvccm hawana hati miliki ya uongozi katika nchi hii,if your mind is conguered you are no going anywhere,
  12. daida

    JamiiForums Tanzania Rais azima political revolution 2020

    mheshimiwa anavyanzo vingi sana akitaka kunipata
  13. daida

    JamiiForums Tanzania Rais azima political revolution 2020

    •Kwanza najisikia Faraja kubwa kwa aliekuwa kiongozi wangu KATAMBI (BAVICHA)kunifuata chama cha mapinduzi ambapo mimi nikiwa katibu mwenezi vijana wilaya ya BUKOMBE, 2015 rais alipokuja nilivua magwanda nikamuunga mkono nikajua tu kwamba CHADEMA imekwisha baada ya mzee wa mvi kuingia na rushwa...
  14. daida

    JamiiForums Tanzania President Magufuli basic characteristics of conscience

    •Rais ana inner power which warns,condemns,praises, sasa ni marais wangapi waliwahi kusema kuwa kwenye mavyama yetu kuna majizi,hata kama yapo SSM au cdm,jiulize mkurugenzi anaulizwa hesabu ya fedha wala hata hajui fedha za mradi, •Conscience associated with duty and obligation, tumeona kagera...
Back
Top Bottom