Hawa jamaa ni kabila la KALENJIN wanatokea rift valley, wakina KIPCHOGE,KIPRUTO,KIPTOO,JEPKOSGEI,KIPTUM,JEPCHIRCHIR ukiona mjaluo au mkikuyu anakimbia uyo kavamia fani......ETHIOPIA utakuta kabila la OROMO hawa ata enzi za shule mtu hana zoezi na anapepea kama mshale...TANZANIA utawakuta SINGIDA...